SABABU YA KIBU DENIS KUGOMEA MKATABA MPYA SIMBA…KUMBE YANGA WAMWAGA DAU NONO
Mwanaspoti linajua kama mambo yataenda yalivyo, wakati wowote Simba inaweza kumpoteza kiungo wao mshambuliaji mpambanaji Kibu Denis Prosper
Ni kama yuko mlangoni kuingia kwa watani...
KWA NINI YANGA WANAPATIA KWENYE USAJILI…? ENG HERSI KAFUNGUKA SIRI HII…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa suala la usajili wa wachezaji linahitaji uelewa mkubwa la sivyo kama kiongozi wa Klabu...
HIZI HAPA SIKU 29 ZA MGUNDA KUAMUA KUSUKA AU KUNYOA SIMBA….AKIFELI IMEKULA KWAKE…
Juma Mgunda na Seleman Matola walianza kibarua chao ndani ya Simba juzi Jioni . Lakini ana mechi nane mpaka sasa mkononi ambazo atalazimika kutembeza...
HUU HAPA UTATA WA USAJILI WA KAMBOLE ULIVYOIFANYA FIFA KUSHUSHA RUNGU YANGA…
Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Lazarus Kambole ameiweka pabaya Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2023/24, ambapo Klabu za soka...
ODDS ZA USHINDI KWENYE EUROPA LEO ZIKO KWENYE UHAKIKA WA TIMU HIZI TU…
Ndugu mteja wa Meridianbet hivi unajua kuwa siku ya leo ni siku yako ya kutusua mapene endapo utabashiri na meridianbet kwani machaguo yapo kibao...
SIMBA vs MTIBWA KESHO NI MECHI YA KUMALIZA UBISHI….CHAMA KUKOSEKANIKA TENA…
SIMBA wanashuka dimbani kesho kujiuliza kwa mara nyingine mbele ya wageni wao, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa uwanja wa...
KIBABAGE NA YANGA MAMBO NI BULL BULL…SIMBA WAPIGWA KIKUMBO CHA MWAKA…
KLABU ya Yanga imefanikisha kumbakisha beki Nickson Kibabage, aliyekuwa akiichezea klabu hiyo kwa mkopo kutoka Singida Fountain Gate, baada ya kumsainisha mkataba wa miaka...
HII HAOA BILIONI 1.1 YA MERIDIANBET KWENYE CASINO YA WAZDAN…UTAJIRI UKO HUKU WEWEE…
Ingia katika ulimwengu wa zawadi za kushangaza: Jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bilioni Moja (1,109,338,868) pale unapocheza michezo ya kasino ya...
STAA HUYU BYE BYE SIMBA…AWEKWA SOKONI AL AHLY WATAJWA…ISHU NZIMA IKO HIVI
Klabu ya Simba SC inataka si chini ya dola $100,000 (sawa na zaidi ya Tsh milioni 250) kwa kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy...
USAJILI WA WINGA HUYU YANGA KUTIKISA BONGO…KUSAJILIWA KWA MIL 500
Jina la Deivi Miguel Vieira maarufu kama Gilberto raia wa Angola anaechezea Petro Atletico Luanda linatajwa kwenda kumrithi Skudu Makhudubela huko Jangwani.
Taarifa zinaeleza kuwa...