TANZIA:KIONGOZI SIMBA ATANGULIA MBELE ZA HAKI
TAARIFA iliyotolewa leo Machi 31 na Uongozi wa Simba kupitia Ukurasa wa Instagram imeeleza hivi:-
MEDDIE KAGERE: NINAIPENDA KAZI YANGU
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa anapenda kazi yake ya mpira jambo linalomfanya afurahie kufunga kila wakati akiwa ndani ya uwanja.Ligi Kuu Bara...
MESSI: TULICHELEWA KUKATWA MSHAHARA
LIONEL Messi nahodha wa Barcelona, amesema kuwa jambo la wachezaji kukatwa mshahara limechelewa kufanyika kwa sababu wachezaji walikuwa wanapambana kuisadia klabu pamoja na kuwasiaidia...
AISHI MAULA ALIKUBALI BAO ALILOFUNGWA NA MORRISON UWANJA WA TAIFA
AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Simba amesema kuwa Bernard Morrison wa Yanga anastahili pongezi kwa kumtungua bao kwenye mchezo wa watani wa...
NYOTA WA KMC ATAJA SABABU ZA MEDDIE KAGERE KUFUNGA MABAO
MSHAMBULIAJI wa KMC, Salim Aiyee amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya Meddie Kagere wa Simba kufunga mabao mengi ni muunganiko anaoupata ndani ya Simba pamoja...
NONGA: UBORA WA WACHEZAJI WENZANGU UNANIFANYA NAKUWA BORA
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa kinachomfanya kuwa bora ndani ya Lipuli ni kutokana na ubora wa wachezaji anaocheza nao.Nonga ni miongoni mwa...
MBELGIJI WA SIMBA ATAJA KINACHOWAWEKA BENCHI AJIBU, MLIPILI,NDEMLA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kama nyota wake wanaokosa namba kikosi cha kwanza wanataka kuanza lazima wapambane mazoezini kuwa bora.Kauli hiyo...
CORONA YATIBUA MIPANGO YA KOCHA WA SIMBA
PATRICK Aussems, aliyekuwà Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kusambaa kwa Virusi vya Corona kumetibua mipango yake ya kutua Afrika Kusini kusaini dili lake...
HAWA JAMAA MAJUU WANAKIMBIZA KWA PASI ZA MWISHO
HAWA jamaa ni wakali wa kupiga pasi za mwisho kwenye timu zao wanazozipiga kwenye ligi kubwa tano Ulaya:- Angel Di Maria anayekipiga PSG inayoshiriki Ligue...
SINGIDA UNITED INA FURUSHI LA MABAO
SINGIDA United ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 imekuwa na beki nyanya kwa kuruhusu kufungwa mabao mengi.Ikiwa imecheza mechi 29 za Ligi...