KUMEKUCHA SIMBA, MABEKI WAWILI PANGA LINAWAHUSU

0
MABEKI wawili ndani ya Simba inaelezwa kuwa nafasi yao ya kubaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2020/21 ni ndogo kutokana na...

MANCHESTER UNITED YAKUBALI YAISHE KWA POGBA

0
MANCHESTER United inayotumia Uwanja wake wa Old Trafford imemuweka sokoni kiungo wao Paul Pogba na kukubali yaishe juu yake kwani alikuwa anahitaji kusepa tangu...

HIKI HAPA KINACHOMBEBA PAUL NONGA WA LIPULI

0
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa anaweza kikubwa kilicho nyuma ya mafanikio yake ni kuamini uwezo wake na kujituma.Nonga ndani ya Ligi Kuu...

BARCELONA YAMUWEKA SOKONI NYOTA WAKE COUTINHO

0
INAELEZWA kuwa Bayern Munich inataka kumchukua Philippe Coutinho ili awe mali yao jumla ndani ya kikosi hicho.Raia huyo wa Brazil mwenye miaka 27 anakipiga...

BERNARD MORRISON AWAPA SOMO HILI WACHEZAJI WENZAKE

0
BERNARD Morrison Kiungo Mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kikubwa anachokifanya kwa sasa akiwa nyumbani ni kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake.Kwa sasa Ligi...

HIVI NDIVYO NYOTA WA POLISI TANZANIA ANAVYOLINDA KIPAJI CHAKE WAKATI HUU WA MAPUMZIKO

0
Marcel Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa muda huu wa mapumziko ya Ligi Kuu Bara anafanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake.Kaheza...

SAINI YA JADON SANCHO DILI KUBWA KWA TIMU KUBWA, CHELSEA NA UNITED ZAMUWANIA

0
KLABU ya Chelsea inayonolewa na Kocha Mkuu Frank Lampard imevutiwa na uwezo wa nyota anayekipiga ndani ya Borrusia Dortmund, Jadon Sancho.Hesabu za Lampard zinagogana...

YANGA YATOA TAMKO KUHUSU KUJIUZULU KWA VIONGOZI WAO PAMOJA NA WALE WALIOJIENGUA

0
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kilichotokea kwa baadhi ya viongozi wa Kamati ya Utendaji ndani ya Yanga kujiuzulu na wengine kuenguliwa...

JISHINDIE GARI, BABA LAO HIVI NDIVYO ILIVYOTINGA KAWE

0
WASOMAJI mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kawe, Mikocheni hadi Msasani mapema jan walijaza kuponi kwa ajili ya kushiriki...

MAJEMBE YA SIMBA HAYA HAPA NI NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SpotiXtra Jumapili, lipo mtaani jipatie nakala yako kwa jero tu na kuna nafasi ya kushinda ndinga mpya...