MASHINE NNE ZA KAZI KUTUA JANGWANI
IMEELEZWA kuwa Uongozi wa Yanga unapiga hesabu za kushusha mashine nne za kazi ndani ya kikosi hicho ili kuongeza nguvu za kutwaa ubingwa wa...
HIMID MAO: NIPO SALAMA HUKU MISRI
HIMID Mao, kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga nchini Misri kwenye Klabu ya ENPPI amesema kuwa anaendelea salama.Ligi Kuu ya nchini...
DAKIKA ZA IBRAHIMU AJIBU NDANI YA SIMBA ZIPO NAMNA HII
IBRAHIM Ajibu kiungo mshambuliaji ndani ya Simba amecheza mechi 16 ambazo ni dakika 1,440 kati ya 28 ambazo ni dakika 1,520 ambazo wachezaji wa...
WACHEZAJI WA BARCELONA KUKUTANA NA PANGA LA KUKATWA MKWANJA WAO
UONGOZI wa Barcelona unampango wa kupitisha panga la mishahara kwa wachezaji wake ili kuongeza nguvu kwenye mapambano dhidi ya Virusi vya Corona.Wachezaji wa Klabu...
KOCHA HUYU ALIYEMNYOOSHA MBELGIJI WA YANGA ANAWINDWA ATUE JANGWANI
MECKY Maxime Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa alipewa mkataba wa kujiunga na Yanga, lakini kutokana na kutoļ¬kia baadhi ya makubaliano, alishindwa kuusaini...
BEKI HUYU CHIPUKIZI AINGIA ANGA ZA SIMBA
BAKARI Nondo, beki chipukizi anayekipiga ndani ya Coastal Union na pia ana nafasi ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Tafa Starsinaelezwa...
DYBALA:NIPO FITI NIMEPONA CORONA
PAULO Dybala, mshambuliaji wa Juventus amewaambia mashabiki wake kuwa afya yake na ya mpenzi wake, Oriana Sabatini ziko safi ikiwa ni siku nne tangu...
KUWENI WAPOLE, UVIVU NA UDUNI WA UBUNIFU NI KASORO ZENU.
Na Saleh AllyNIMESKIA tafrani iliyotokea Yanga hadi kusababisha baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga kujiuzulu.Nilielezwa kuwa kuna baadhi ya wajumbe walihoji...
CORONA KWA NCHI ZA AFRIKA
WATU 3,778 wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Covid-19 hadi kufikia Machi 28, 2020 katika nchi 46 za Afrika huku vifo 109 vikiripotiwa barani Afrika...
MSHAMBULIAJI TEGEMEA WA MBAO FC AINGIA CHIMBO KUONGEZA MAKALI
MSHAMBULIAJI wa Mbao FC, Wazir Jr amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi ya kulinda kipaji chake...