TUUNGANE KWA PAMOJA KUPAMBANA NA CORONA, WACHEZAJI MKIBWETEKA MNAJIDANGANYA WENYEWE
NI wazi inafahamika kwa sasa ligi mbalimbali duniani zimesimama ikiwa ni sehemu ya kujikinga zaidi na maambukizi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa...
MUUAJI WA SIMBA ASIMULIA ALICHOKIPATA BAADA YA KUWATUNGUA JUMLAJUMLA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amefunguka kuwa kuifungia timu yake bao mbele ya Simba kumempa heshima na furaha kwa mashabiki wa Yanga.Raia huyo...
VITA YA MANAHODHA UWANJANI, BOCCO AMPOTEZA TSHISHIMBI
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amempiku nahodha wa Yanga, Papy Tshishimbi kwa kutengeneza pasi nyingi za mabao na kucheka na nyavu ndani ya uwanja...
SIMBA YAKOMAA NA MZAMBIA, HILO DAU NI PASUA KICHWA
JUSTIN Shonga, mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates inaelezwa kuwa bado yupo kwenye vichwa vya mabosi wa Simba wanaotaka kuipata saini ya...
CHAMPIONI NA SPOTIXTRA ZATINGA MTAANI KUPAMBANA NA CORONA
GLOBAL Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, imeanzisha kampeni ya kuzuia kusambaa kwa Virusi vya Corona na kuvitokomeza kabisa.Katika...
NAHODHA WA YANGA TSHISHIMBI AKUBALI YAISHE KWA SIMBA
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa nafasi waliyoachwa na Simba kuwafikia kwa sasa kunahitaji juhudi na akili nyingi kutokana na mzigo wa pointi...
HATMA YA KANDA, CHAMA NDANI YA SIMBA IMEFIKIA HAPA
KATIKA kukiboresha kikosi chao, uongozi wa Simba umeahidi kutomuachia mchezaji yeyote watakayemuhitaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambaye mkataba wake...
VIGOGO WATANO WAJIENGUA YANGA
VIONGOZI watano ndani ya Klabu ya Yanga kwa sasa wameenguliwa kwenye uongozi ndani ya Klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani kutokana na sababu mbalimbali.Kati...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi