IGHALO ALETA MATUMAINI MAPYA NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
USHINDI wa mabao 5-0 walioupata Manchester United mbele ya LASK kwenye mchezo wa Europa League unamfanya nyota wao mpya Odion Ighalo afikishe jumla ya...

SIMBA YAOMBA RADHI KISA KICHAPO CHA MABAO 8 WALICHOIPA SINGIDA UNITED

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaomba radhi kwa mashabiki na timu ya Singida United kwa kuipa kichapo cha mabao 8-0 jambo...

KMC WATAJA KILICHOWAPA USHINDI MBELE YA YANGA

0
SADALA Lipangile, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa kilichowapa ushindi mbele ya Yanga ni juhudi za wachezaji kujituma ndani ya uwanja bila kuchoka.KMC jana ilishinda...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara baada ya ushindi wa KMC jana Uwanja wa Uhuru, imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 18 mpaka ya...

KOCHA LIVERPOOL AMKINGIA KIFUA MLINDA MLANGO WAKE, ATAJA SABABU ZA KICHAPO

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo walichokipata mbele ya Atletico Madrid kwa kufungwa mabao 3-2 ni uzembe wao wenyewe wa kuchelewa...

KICHAPO CHA BAO 1-0 WALICHOPOKEA YANGA MBELE CHAIKWEZA KMC KWA NAFASI MBILI

0
KIKOSI cha Yanga leo kimekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru.Kichapo cha leo ni...

MEDDIE KAGERE WA SIMBA ATAJA SABABU YA KUCHEKA NA NYAVU

0
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio ni ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake na kutimiza majukumu yake ndani ya kikosi...

MOURINHO: TATIZO LA KIKOSI CHANGU SIO LA KUISHA KESHO, MAMBO NI MAZITO

0
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa kwa sasa kwake mambo ndani ya kikosi hicho ni magumu kutokana na aina ya kikosi alichonacho.Mourinho...

POLISI TANZANIA: LIGI KUU BARA SI YA KITOTO

0
MARCEL Kaheza, mshambuliajai wa Polisi Tanzania amesema kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu unawafanya wakomae kusaka matokeo kwenye mechi zao zote...