AZAM FC WALIPA KISASI CHA KUPAPASWA NA RUVU SHOOTING LEO

0
.NEVER Tigere nyota wa Azam FC leo amewanyanyua mashabiki wa Azam FC kwa kulipa kisasi cha kufungwa bao 1-0 mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja...

ALIYEMCHEZEA RAFU FEI TOTO ARUDI KWA MASHABIKI KUOMBA MSAMAHA

0
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amesema kuwa anawaomba radhi mashabiki kwa kitendo chake cha kumchezea mchezo usio wa kiungwana kiungo wa timu ya Yanga,...

BEKI KISIKI WA SIMBA KUKAA NJE YA UWANJA SIKU 14

0
ERASTO Nyoni, beki wa timu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara atakaa nje kwa muda wa wiki mbili sawa na...

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KITAKACHOINGIA KAMBINI KUIWINDA TUNISIA

0
KIKOSI cha timu ya Taifa kilichotangazwa kwa ajili ya kuingia kambini Machi 12 kuiwinda timu ya Taifa ya Tunisia

KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA RUVU SHOOTING

0
HIKI hapa kikosi cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Uhuru

HIZI HAPA 14 LEO KUINGIA KWENYE MSAKO WA POINTI TATU NDANI YA LIGI KUU...

0
Azam FC V Ruvu Shooting, Uwanja wa UhuruMbeya City v Mbao FC, Uwanja wa Sokoine.Coastal Union v Lipuli, Uwanja wa Mkwakwani.JKT Tanzania v Mwadui...

SIMBA KWENYE KIBARUA KINGINE KESHO MBELE YA SINGIDA UNITED

0
SIMBA kesho ina kazi mbele ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni.Wapinzani...

YANGA YATAJA ILIVYOWABANA SIMBA TAIFA, MASHABIKI WAPEWA TANO

0
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa ilikuwa ni mpango kazi wa wachezaji kucheza kwa kujituma mwanzo mwisho kupata matokeo chanya kwenye mchezo...

CORONA YASIMAMISHA LIGI KUU YA ITALIA KWA MUDA

0
MICHEZO yote ndani ya nchi ya Italia imesimamishwa kwa muda kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona nchini Italia ikiwa ni pamoja na Ligi...

SIMBA; KUFUNGWA NA YANGA SIO MWISHO WA KUPAMBANA, MASHABIKI TUPENI SAPOTI

0
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa kuchapwa kwao mbele ya Yanga sio mwisho wa mapambano.Bocco mwenye mabao matatu na pasi moja ya bao...