MAYANGA YUPOYUPO SANA KWENYE UBORA WAKE

0
MSHAMBULIAJI wa timu ya Ndanda SC ya Mtwara, Vitalis Mayanga amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL)...

SIMBA HAINA DOGO, YAWAPOTEZA MAKOCHA WAWILI BONGO MATATA

0
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amewapoteza makocha wenzake wawili ndani ya Ligi Kuu Bara ndani ya mwezi Februari alioingia nao kwenye kuwania tuzo...

NYOTA AZAM FC ACHEKELEA MAISHA YAKE KWA SASA, APANIA MAKUBWA

0
NYOTA wa Azam FC, Andrew Simchimba amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi hicho na ataendelea kuonyesha juhudi ili kufikia malengo aliyojiwekea yeye pamoja...

YANGA: HATUKUWA NA PRESHA NA SIMBA TULIJUA HAWATATUSUMBUA NDIO MAANA TUMEWAKALISHA

0
JAFFARY Mohamed, beki kiraka wa Yanga amesema kuwa hakuwa na presha alivyopangwa kucheza na Simba kutokana na kuamini uwezo wake na kuwajua wapinzani wake...

KOCHA ARSENAL AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE

0
MIKEL Arteta Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakicheza kwenye kiwango anachokipenda.Arteta amekuwa akiwatumia makinda kwenye mechi za hivi karibuni na...

KANE HESABU ZAKE KUTUA MANCHESTER UNITED

0
HARRY Kane, straika wa timu ya Tottenham iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo.Inaelezwa kuwa...

MBWANA SAMATTA NA ASTON VILLA YAKE MAJANGA MATUPU HUKO ULAYA

0
KWENYE mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa King Power kati ya Leicester City dhidi ya Aston Villa usiku wa kuamkia leo mambo...

HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA SIMBA MZUNGUKO WA PILI NDANI YA LIGI KUU BARA

0
BAADA ya Simba kunyooshwa na watani zao wa jadi Yanga, Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa bao 1-0 wamebakiwa na kete 11 mkononi kukamilisha...

BAADA YA KICHAPO TAIFA KUTOKA KWA YANGA, SIMBA WATOA TAMKO

0
VerifiedBAADA ya Simba jana kuambulia kichapo cha bao 1-0 mbele ya Yanga Uongozi umewataka mashabiki kutulia na kukubali matokeo yaliyotokea.Ofisa Habari wa Simba Haji...

REAL MADRID YAISHIA KUPOKEA KICHAPO KUTOKA KWA REAL BETIS

0
NYOTA wa zamani wa Barcelona, Cristian Tello ameipa nafasi timu yake ya zamani kubaki namba moja kwenye msimamo wa La Liga baada ya kuifungia...