YANGA YAMUITA KABWILI ISHU YA TOYOTA IST, YATAKA USHAHIDI

0
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamemuita mlinda mlango wao, Ramadhani Kabwili baada ya kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Simba kuwa walitaka...

JESHI LA NAMUNGO LEO DHIDI YA SIMBA, PAU BUKABA AANZIA BENCHI, BAROLA NDANI

0
KIKOSI cha Namungo, Kitakaochoanza leo dhidi ya Simba, Januari, 29, Uwanja wa Taifa

SIMBA YATAJA INACHOKITAKA KWA NAMUNGO LEO

0
JONAS Mkude, kiungo wa Simba ambaye amedumu kwa muda mrefu amesema kuwa leo ndani ya Uwanja wa Taifa wana kazi moja tu ya kutafuta...

STARTIMES IPO KWA AJILI YA JAMII, MATUKIO YAKE YA 2019 HAYA HAPA, TUZO PIA...

0
MWAKA 2019 umeshameguka na sasa tupo mwaka 2020, leo ni Januari,29. Haya hapa ni matukio ya StarTimes 2019:-Tangu kuingia katika soko la Afrika Mwaka...

SIMBA YATINGA BUNGENI LEO, SPIKA AZINDUA KADI ZA MASHABIKI

0
UONGOZI wa Simba leo ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha, leoumeytia timu Bungeni, Dodoma.Simba ipo kwenye mchakato wa kuzindua matumizi ya kadi za mashabiki.Saa...

KIFO CHA KOBE BRYANT CHASIMAMISHA RATIBA YA MECHI NBA

0
CHAMA cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kimeahirisha mchezo wa Ligi ya NBA kati ya Los Angeles Clippers uliopangwa kufanyika usiku wa kuamkia leo...

MO SALAH BADO WAMO NDANI YA EPL

0
MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool,aametupia jumla ya mabao 11 kwenye Ligi Kuu England msimu huu wa 2019/20.Ana wastani wa kufunga kila baada ya dakika...

VITA YA SIMBA NA NAMUNGO LEO KUNOGESHWA NA HAYA HAPA

0
NAMUNGO ya Lindi itakuwa na kazi ya kuendeleza ubabe wao ndani ya Ligi Kuu Bara wakiwa na kumbukumbu ya kupindua meza kibabe mbele ya...

MBELGIJI AWAPIGA MKWARA NYOTA HAWA WA YANGA

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wawili ambao ni Ditram Nchimbi na Feisal Salum waliomba msamaha kwa kutimka kambini bila...

MTIBWA SUGAR : HASIRA ZOTE SASA KWA AZAM FC

0
BAADA ya Mtibwa Sugar kutupwa nje kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho na Sahare Stars kwa kufungwa penalti 3-2 baada ya sare ya kufungana...