NYOTA CHELSEA AGOMEA DILI LA KUTUA JUVE KISA KUHOFIA KUSHUKA KIWANGO
JUVENTUS imepanga kumshusha kikosini winga wa Chelsea Willian Borges da Silva, lakini nyota huyo wa Brazil amegomea dili hiloInaelezwa kuwa nyota huyo hataki kujiunga...
KICHWA CHA SAMATTA NA KITUE KWENYE AKILI ZA WACHEZAJI WETU BONGO
MBWANA Samatta nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania ameweka rekodi mpya kwenye ulimwengu wa soka duniani kwa kucheza mchezo wa kwanza wa Kombe...
ISHU YA NIDHAMU KWA WACHEZAJI INAPASWA IANZIE NDANI YA TIMU KABLA YA TFF
MATUKIO mazuri na mabaya kwenye soka kila siku yanatokea huku yale mazuri yakipewa kipaumbele kikubwa kuzungumziwa na timu ama mashabiki kuonyesha kwamba ni namna...
SIMBA WAJIPIGIA AZAM FC MABAO 3-2, YASEPA NA POINTI TATU, CHIRWA ANA BALAA
SIMBA leo imemalizana na Azam FC kwa ushindi wa mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa.Azam FC iliyo chini...
FEBREGAS AMPA ANGALIZO KIUNGO MPYA WA CHELSEA
KIUNGO wa zamani wa timu ya Chelsea, Cesc Fabregas amesifu uwezo wa kiungo chipukizi wa timu ya Chelsea Billy Gilmour kwa kusema kuwa akiongeza...
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO UWANJA WA TAIFA DHIDI YA SIMBA
KIKOSI cha AZAM FC kitakachoanza leo Machi 4 dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa
VPL: AZAM FC 1-0 SIMBA
Azam FC 1- 0 SimbaUwanja wa TaifaKipindi cha kwanzaDakika ya 4 Nevere tegere anamtungua Aish Manula kwa guu la kuliaAZAM FC leo imeikaribisha Simba...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC UWANJA WA TAIFA
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Azam FC Uwanja wa Taifa, majira ya saa 1:00 usiku
MVUA YATIBUA MAMBO HUKO IRINGA MPAKA SHINYANGA, SALAMU ZIPO NAMNA HII
Mechi ya Ligi Kuu Bara leo Kati ya Lipuli na Ndanda FC imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha mkoani Iringa hali iliyosababishwa sehemu ya...