WAZIR JR KINARA WA UFUNGAJI KMC FC ALIVYOSAMBAZA UPENDO WA MERIDIANBET LEO…
Muite Wazir Jr the Anti, ukienda Jiji lenye miamba Mwanza kwenye samaki Sati na Sangara, Ndugu zangu Wasukuma wanamfahamu kwa jina maarufu la The...
KUMBE YANGA WATUMIA MBINU HII KUFANYA USAJILI…RAIS AFUNGUKA KILA KITU A-Z
Rais wa Klabu ya Young Africans, Eng. Hersi Said amesema kuwa kila mchezaji mkubwa anataka kwenda kucheza kwenye klabu hiyo kutokana na malengo makubwa...
HIZI HAPA KARATA ZA GAMONDI NA UBINGWA LIGI KUU…BACCA ASUGULISHWA BENCHI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kuwapo kwa ushindani mkubwa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, wachezaji wake wamekuwa wakipambana uwanjani kusaka...
MERIDIANBET WALIVYOFANYA KWELI KWA MADEREVA ‘BODABODA’ WA DAR…
Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi...
MMH YANGA YAIBUKA NA MIKAKATI HII HATARI…RAIS AMEFUNGUKA HAYA
Rais wa Klabu bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema anataka kuiona klabu hiyo inakuwa katika orodha ya Klabu nne Bora Barani...
CHAMA AMESHAAMUA KUONDOKA SIMBA…SABABU HII YAMPELEKA YANGA…APITIA MISUKOSUKO HII
Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Clatus Chama huenda msimu ujao akaibukia katika mitaa ya twiga na Jangwani ambapo...
MANARA AIBUKA NA HAYA MAPYA…AWACHANA SIMBA MAKAVU LIVE…ALIVALIA NJUGA JAMBO HILI
Suala la kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha na wasaidizi wake Farid Zemit na Kamal Bougnan, limemuibuka aliyewahi kuwa Afisa...
YANGA YAIPIGA KO SIMBA…WAMSAINISHA BEKI HUYU KISIKI…YANASUBIRIWA MAOKOTO TU
Mlinzi wa pembeni wa Yanga ambae alikuwepo kwa mkopo kutoka Singida Fountain Gate Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka mitatu Yanga, makubaliano ya mauzo...
KOCHA YANGA AVUJISHA SIRI HII YA GAMONDI…WACHEZAJI HAWA WAREJEA KUTOKA MAJERUHI
Wakati Yanga imebakiza pointi 12 ikiwa ni sawa na mechi nne ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, kocha...
TETESI: PACOME AFUNGIWA NA FIFA…KIKWETE AINGILIA KATI…RAIS YANGA AFUNGUKA A-Z
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amefunguka kuhusu madai kuwa mchezaji wa timu hiyo, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast amefungiwa na...