MAANDALIZI YA TIMU YA TAIFA YAAANZE MAPEMA ILI KUFUNGUA NJIA YA USHINDI
FEBRUARI ndo imeshameguka kwa kasi kisha mwezi Machi upo kwa hewa ndipo tutaukaribisha mwezi Aprili ambao unatarajiwa kuwa na tukio kubwa kwenye ulimwengu wa...
TULITENGE SOKA LETU NA SIASA NI HATARI KWA AFYA YA SOKA LETU
Kitu gani kinawatesa Singida United? Hilo ni swali gumu au kitendawili kigumu kukitegua kwa watu.Kinaweza kikawa kitendawili kigumu kukitegua kwa sababu moja tu sisi...
KUONA MIUJUZI YA MORRISON NA LUIS NI BUKU SABA TU
KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi unaotarajiwa kucheza Machi 8, 2020 Uwanja wa Taifa Shirikisho la Soka la Mpira Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya...
WAWILI SASA WAONDOLEWA NDANI YA AZAM FC
IDD Cheche aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Azam FC ameondolewa kwenye benchi hilo la ufundi na kumuacha Kocha Mkuu Arstica Cioaba.Cheche ameondolewa kwenye benchi la...
GUARDIOLA; HAIKUWA RAHISI KUTWAA TAJI LA CARABAO MBELE YA ASTON VILLA YA SAMATTA
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester Ciy amesema kuwa haikuwa kazi nyepesi kushinda ubingwa mbele ya Aston Villa kwenye mchezo wa fainali ya Kombe...
MZUNGU WA SIMBA AFUNGUKIA HESABU ZAKE KUHUSU MECHI YA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa utaanza kuipigia hesabu Yanga baada ya kumalizana na Azam FC kwenye mchezo wao wa Ligi utakaochezwa Machi 4, Uwanja...
YANGA YATUMA SALAMU HIZI KWA MBAO FC KESHO
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji mwenye miguvu akiwa ndani ya uwanja amesema kuwa akipata nafasi kesho mbele ya Mbao atapambana kuipa ushindi timu yake kwa kushirikiana...
CIOABA KWENYE MTIHANI MZITO MNDANI YA BONGO, JUMATANO
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC, Jumatano ana kibarua kizito mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa...
USHNDI WA MABAO 2-0 MBELE YA NDANDA YAIPA JEURI MTIBWA SUGAR
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa kwa sasa klabu hiyo imerejea kwenye ubora baada ya kushinda mabao 2-0 mbele ya Ndanda...
CR 7 KUMBE AMEHUSIKA KICHAPO CHA BARCELONA YA MESSI MBELE YA REAL MADRID
LIONEL Messi nahodha wa Barcelona hakuwa na ujanja mbele ya wapinzani wake Real Madrid zaidi ya kushuhudia wakichapwa mabao 2-0 mchezo wao wa La...