MKALI WA PASI ZA MWISHO SASA YUPO FITI, KUIVAA KMC MAMBO YAKIWA NAMNA HII
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba anatarajia kuanza kuonyesha makeke yake leo Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara iwapo Kocha Mkuu Sven...
SIMBA KUIFUATA KMC KWA TAHADHARI HII LEO
SVEN Vandnbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema ataingia kwa tahadhari kubwa kuivaa KMC kutokana na ushindani uliopo ndani ya Ligi Kuu Bara.Simba itaingia uwanjani...
NAMUNGO: BADO KAZI NI NGUMU, WACHEZAJI WANAPAMBANA
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa bado wana kazi kubwa ya kulinda uwezo wao na kiwango chao kwa sasa kutokana na ushindani...
AZAM FC YAPATA MATUMAINI MAPYA KUFIKIA MALENGO YAO YA KUTWAA UBINGWA
USHINDI wa bao 1-0 walilopata Azam FC mbele ya JKT Tanzana limewapa matumaini Azam FC kuendelea kasi yake kufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Azam...
AJIBU AMTIA HOFU MLINDA MLANGO HUYU LIGI KUU BARA
MLINDA mlango wa Mtibwa Sugar, Benedict Tinnoco amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao huwa anawahofia wakiwa na mpira ni Ibrahim Ajib.Tinnoco amesema kuwa amekuwa...
YANGA YAFICHUA SIRI YA USHINDI KWA ALLIANCE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance ni wachezaji wake kufuata maelekezo aliyowaambia...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
YANGA: TUNAIFUNGA SIMBA MACHI 8 MAPEMA TU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo chanya kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na mchezo wa...
ALLIANCE WATAJA KILICHOWAPONZA WAKACHAPWA MABAO 2-0 MBELE YA YANGA
GEOFREY Luseke, beki wa timu ya Alliance amesema kuwa hawakustahili kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao Yanga.Jana, Februari 29, Alliance ya...
RUVU SHOOTING WAMPAPASA BOSI WAO WA ZAMANI, CHUMA APELEKWA HOSPITALI
RUVU Shooting jana, Februari 29, 2020 iliipapasa mabao 2-0 Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mabatini, Pwani.Kwenye mchezo huo...