KIWIKO CHAMPELEKA MKUDE KAMATI YA NIDHAMU YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU
JONAS Mkude kiungo mkabaji wa Simba amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa...
FA: YANGA 0-0 GWAMBINA
Kipindi cha Kwanza: Yanga 0-0 Gwambina FCUwanja wa Uhuru.YANGA leo imeikaribisha Gwambian FC Uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.Mshindi wa leo...
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA GWAMBINA FC LEO UWANJA WA UHURU
KIKOSI cha Yanga leo dhidi ya Gwambina FC Uwanja wa Uhuru
KOCHA NAMUNGO AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa wachezaji wake wanapambana kiasi cha kutosha ndani ya Uwanja jambo linalomfurahisha.Thiery jana timu yake imetinga hatua...
MZUNGU WA SIMBA KUJA NA MFUMO MPYA KABLA YA KUIVAA YANGA
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa anatengeneza mfumo mpya utakaompa matokeo chanya kwenye mechi zake anazocheza.Sven ameshinda mechi sita na...
PICHA: WACHEZAJI WA YANGA WAKISEPA KWENYE MAKAZI YAO YA ZAMANI
HIZI hapa picha za baadhi wachezaji wa Yanga ambao wameonekana wakihama kutoka kwenye makazi yao ya zamani maeneo ya Kariakoo ili kusaka makazi mapya. Uongozi...
GWAMBINA FC YAIPIGA MKWARA HUU YANGA
UONGOZI wa Gwambiana FC inayoshirki Ligi Daraja la Kwanza umesema kuwa leo utaingia kwa hesabu kali mbele ya Yanga kwenye mchezo wao wa hatua...
ISHU YA KIONGOZI YANGA KUDAI KUIBIWA NA MASHABIKI WA COASTAL UNION IPO HIVI
UONGOZI wa Coastal Union ya Tanga umeandika waraka huu kwa mashabiki wao kuhusu tukio la Ofisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kudai kuwa alitaka kuibiwa simu...
MORRISON APATA MADILI MAKUBWA MEZANI, SIMBA WAISHTUA YANGA
IMEELEZWA kuwa kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga, Bernard Morrison amepata ofa mezani kutoka Afrika Kusini zikiwa na lengo la kuipata saini yake.Morrison amejiunga...
SAFU YA ULINZI YA SIMBA YATAFUTIWA DAWA NA SVEN
SVEN Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna tatizo kubwa kwenye safu yake ya ulinzi jambo ambalo atalifanyia kazi kwa ukaribu.Simba jana ililazimisha...