MBELGIJI APIGA CHINI MAPROO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

KOCHA KMC AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUIVAA NDANDA FC

0
HARUNA Harerimana, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wachezaji wake leo wanatakiwa kufuata malekezo yake mwanzo mwisho ili kushinda mbele ya Ndanda FC.KMC ilikubali...

MDAMU: TUPO TAYARI KUPAMBANA MBELE YA MBAO FC

0
GERALD Mdamu, mshambuliji wa Mwadui FC amesema kuwa wachezaji wana morali ya kupambana mbele ya Mbao FC mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.Mdamu...

KAGERE, BOCC0 JANJA YAO YAGUNDULIWA NA BIASHARA UNITED

0
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa utatumia nguvu nyingi kuizuia safu ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kushindwa kuwapa...

KAGERA SUGAR KUPOTEZEA MAUMIVU YA SIMBA KWA WABAYA WA SIMBA

0
YUSUPH Mhilu, mshambuliaji namba moja ndani ya Kagera Sugar amesema kuwa wapo tayari kusepa na pointi tatu mbele ya JKT Tanzania mchezo wa Ligi...

RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA POLISI TANZANIA, YATAMBA ISHU YA KUPAPASA INAENDELEA

0
RUVU Shooting iliyo nafasi ya 10 na pointi zake 32 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo itakaribishwa na Polisi Tanzania Uwanja wa...

MTIBWA SUGAR YAJIPA MATUMAINI KUTUSUA MBELE YA MBEYA CITY LEO

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa baada ya kupata sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons leo ana imani ya kupata...

SIKU MUHIMU KWA MESSI HII HAPA

0
LIONEL Messi, mshambuliaji wa Barcelona amesema kuwa siku ya Alhamisi kwake hupenda kukaa na familia ili kuyajenga masuala mengi yanayowahusu.Messi kwenye La Liga ametupia...

DIDIER DROGBA APIGWA CHINI NDANI YA CAF,ETOO NDANI

0
DIDIER Drogba imeelezwa kuwa amefutwa kazi yake ya ushauri wake ndani Shirikisho la soka barani Afrika CAF, katika nafasi ya kumshauri Rais wa shirikisho...

HIZI HAPA DAKIKA 270 ZA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUINGIA MIKONONI MWA YANGA

0
MCHEZO wa kwanza uliochezwa, Januari 4,2020 Uwanja wa Taifa Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.Zitakutana tena Machi 8,2020...