LICHA YA KICHAPO CHA MABAO 2-1 MBELE YA MBEYA CITY, DIDA AWEKA REKODI YAKE

0
MLINDA mlango wa Lipuli ya Iringa, Deogratius Munish 'Dida' anaingia kwenye rekodi ndani ya msimu wa 2019/20 kuwa mlinda mlango wa kwanza kupachika bao...

POLISI TANZANIA YAKATAA SARE YAKE DHIDI YA YANGA

0
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania amesema kuwa hakustahii sare kwenye mchezo wake wa jana dhidi ya Yanga kutokana na kiwango walichoonyesha wachezaji...

HUU HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii

MUONEKANO WA UKURAAA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani, jipatie nakala yako

KAGERA SUGAR YATAJA KILICHOWAKWAMISHA MBELE YA SIMBA

0
JUMA Nyosso, nahodha wa Kagera Sugar amesema kuwa wapinzani wao Simba walitumia kosa moja walilofanya kuwaadhibu kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

COASTAL UNION YABANWA MBAVU NA RUVU SHOOTING USIKU

0
MUDHATHIR Said alipachika bao la kuongoza mbele ya Coastal Union dakika ya 50 akiwa ndani ya 18 halikuwazuia Ruvu Shooting kupindua meza kibabe.Coastal Union,...

VPL: SIMBA 0-0 KAGERA SUGAR

0
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 Kagera SugarUwanja wa TaifaMchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Kagera Sugar.Kwa sasa...

JESHI LA KAGERA SUGAR DHIDI YA SIMBA

0
JESHI la Kagera Sugar litakaloanza dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa

MATOKEO YA MECHI ZA LIGI KUU BARA, YANGA YABANWA, SINGIDA UNITED HALI TETE

0
FT: JKT Tanzania 0-0 Biashara United.FT: Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC (Sixtus 71’ : Tariq 41’)...FT: Namungo FC 2-1 KMC FC (Bigirimana Blaise 12’,...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KAGERA SUGAR

0
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa