OLE GUNNAR SOLSKAJER AICHAPA CHELSEA MABAO 2-0, LAMPARD ALIA NA VAR
KOCHA Mkuu wa Manchester United,Ole Gunnar Solskjaer amesema hafikirii kama wachezaji wake walicheza vizuri mbele ya Chelsea.Manchester United ilishinda jumla ya mabao 2-0 ikiwa...
PLISI TANZANIA YATAJA KITAKACHOWAPA POINTI TATU LEO MBELE YA YANGA
FRANK Lukwaro, Ofisa Habari wa Polisi Tanzania amesema kuwa ni ngumu kwa Yanga leo kuondoka na pointi tatu kutokana na maandalizi makini ya kikosi...
TFF YATOA SABABU YA KILICHOTIBUA LIGI KUU TANZANIA BARA
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa kilichotibua ratiba ya Ligi Kuu Bara kuwa kama ilivyo sasa ni kupanguliwa...
MBEYA CITY SASA KICHEKO WAREJEA SOKOINE, KUANZA KAZI NA LIPULI LEO
MBEYA City leo wataikaribisha Lipuli kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Sokoine.Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa timu hizi msimu huu...
KAGERA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA
MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wapinzani wake Simba wapo vizuri ila wao hawana hofu na hilo.Kagera Sugar leo itakuwa kazini...
LICHA YA UCHOVU WA SAFARI, NAMUNGO WAIPIGA MKWARA KMC
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa uchovu kwa wachezaji unampa mashaka kidogo ila hesabu zao ni kushinda mechi yao leo dhidi...
HII HAPA RATIBA YA WIKI HII NDANI YA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Bara inazidi kuchanja mbunga kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili, hii hapa ratiba ya mechi ambazo zitakuwa Live ndani ya Azam...
YANGA:POLISI TANZANIA WAGUMU ILA TUNAZITAKA POINTI TATU ZAO
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Polisi Tanzania ni mgumu ila wamejipanga kupata pointi tatu muhimu.Leo, Februari...
HAYA HAPA MAKUNDI YA CHAN 2020,TANZANIA YAPANGWA KUNDI D
MICHUANO ya Chan inatarajiwa kufanyika mwezi Aprili 2020 nchini Cameroon na Tanzania imepangwa Kundi D pamoja na mataifa ya Zambia, Namibia na Guinea kwenye...
UJUMBE HUU WATUMWA KAGERA SUGAR KUTOKA SIMBA
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wataendelea kuzitafuta pointi tatu kwenye mechi zao zote watakazocheza ikiwa ni pamoja na mechi ya kesho dhidi...