NAMUNGO FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MWADUI FC

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kikosi chake kipo sawa na kinaendelea na maadalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu...

LIPULI:NJOONI SAMORA MPATE BURUDANI

0
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15, Uwanja wa Samora kuona watakachomfanya mnyama Simba bila  mashaka.Lipuli inakumbukumbu ya kupoteza...

HIZI HAPA NNE ZA LIGI KUU BARA MAMBO BADO MAGUMU

0
MWADUI FC, Mbeya City, Mbao FC na Singida United zinateswa na upepo mbaya wa kupambania nafasi zao za kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara...

YANGA YAWAITA MASHABIKI KESHO TAIFA

0
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa timu ya Yanga amesema kuwa ushindani wa Ligi Kuu Bara ni mkubwa nao wanapambana kufikia malengo waliyojiwekea.Abdul ni kinara...

SI SAWA, NI HATARI SANA WACHEZAJI KUCHANGANYIKA NA MASHABIKI KAMA ILIVYOKUWA JAMHURI

0
Na Saleh AllyMATATIZO mengi huanza kutokea kwanza na baada ya hapo watu huanza kutafuta utatuzi wake, wakati ilikuwa inawezekana kupatikana kwa utatuzi hata kabla...

SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU

0
KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15 Uwanja wa Samora.Jana kilianza...

AZAM FC YAWAITA MASHABIKI UHURU KUSHUHUDIA BURUDANI

0
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15 Uwanja wa Uhuru kuona burudani kutoka kwa wachezaji...

TWIGA STARS KUANZA KAZI LEO NA MAURITANIA MASHINDANO YA UNAF

0
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars amesema kuwa watatumia nafasi ya kualikwa kwenye mashindano ya Umoja wa...

YANGA : PRISONS SIO WEPESI ILA TUTAPAMBANA KUPATA POINTI TATU

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons hautakuwa mwepesi kutokana na ugumu wa timu ambayo watakutana nayo.Prisons itashuka Uwanja...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa