ANGUKO KUBWA MASTAA 2020, DIAMOND NDANI
MWAKA 2020 utakuwa wenye anguko kubwa kwa mastaa wa Bongo, habari mpya kutoka kwa mtabiri maarufu, Afrika Mashariki na Kati, Maalim Hassan Yahya Hussein...
TULIPAMBANA ILI TUWAACHE INTER
STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema kitendo cha wao kushinda dhidi ya Parma kimezidi kuongeza gepu na wapinzani wao Inter Milan.Juventus inaongoza Serie A...
HII NDIYO HATMA YA NEYMAR NA PSG
STRAIKA wa Paris Saint German, Kylian Mbappe, kwa sasa anaangalia nini anatakiwa kufanya ndani ya klabu hiyo na mwisho wa msimu atajua anaelekea wapi.Mbappe...
GSM YAMWAGA MSAADA WA MAANA KWA MAMA ANNA
KLABU ya Yanga kupitia kwa mdhamini wao Kampuni ya GSM leo Januari 30, 2019 wamefanikisha kutoa masaada wa fedha mahitaji ya chakula cha miezi...
IFIKE WAKATI MAKOCHA ISHU YA LAWAMA ZIFIKE MWISHO
MAKOCHA wengi wa Bongo wanapenda sana kujisifia kwa kazi nzuri lakini wanakuwa wagumu kukubali pale wanapokosea. Hayo yapo kwa kila binadamu, wengi wetu hatutaki kukubali...
SAMATTA KUTUA LIGI KUU ENGLAND AMEACHA DENI KUBWA
NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ni mchezaji halali wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England na tayari ameanza kazi kwenye kikosi hicho. Aston Villa...
MBELGIJI WA SIMBA AWAKA KINOMA, AWAPA MAKAVU WACHEZAJI WAKE
SVEN Vanderboeck raia wa Ubelgiji, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wanashindwa kutumia nafasi wakiwa ndani ya 18 jambo ambalo linawapa ugumu...
AZAM FC YAIPANIA MTIBWA SUGAR LEO, YAWAITA MASHABIKI
JAFARY Manganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Uhuru kuipa sapoti timu hiyo itakapomenyana na Mtibwa Sugar.Azam...
MTIBWA SUGAR WAIPA TANO SAHARE STARS
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa timu ya Sahare Stars ipo vizuri na ikipambana itafikia malengo iliyojiwekea.Sahare iliwanyoosha Mtibwa Sugar kwenye...
MORRISON KIPENZI CHA MASHABIKI WA YANGA ATOA AHADI HII TAMU
BERNARD Morrison, nyota mpya wa Yanga amesema kuwa ataendelea kutoa burudani kwa mashabiki bila kuchoka kwani ni kitu anachokifikiria muda wote.Morrison amecheza mechi mbili...