YANGA WAJANJA SANA, WAIPIGA BAO MAZIMA SIMBA KWA KIUNGO WAO MPYA
BERNARD Morrison, kiungo mpya wa Yanga amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu naye ataongeza mkataba mwingine mrefu ili kuendelea kuwapa burudani.Inaelezwa kuwa, Morrison alipewa...
MBWANA SAMATTA AKUTANA NA HILI KUTOKA KWA BOSI WAKE MPYA, KAZI ANAYO
DEAN Smith, Kocha Mkuu wa timu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu England amesema kuwa mshambuliaji wake Mbwana Samatta ni lazima aongeze juhudi ili...
AZAM FC WAZIDI KUJIFUA, WATUMA UJUMBE HUU KWA WAPINZANI WAO
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kikosi kinaendelea na maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa kesho, Januari 27 dhidi...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI, JANUARI 26
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
KAKOLANYA AWEKA AHADI SIMBA
MLINDA mlango namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa kwa sasa anataka kuweka rekodi mpya ndani ya Simba kwa kucheza mechi bila kuruhusu...
YANGA KUISHUSHA SIMBA KILELENI
KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwasisitiza wazibeze kejeli za Simba.Staa huyo mwenye mapenzi na Yanga, amesisitiza...
MORRISON APEWA MAAGIZO YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa hapendi kuzungumzia uwezo wa mchezaji mmojammoja wa timu yake lakini kiwango ambacho amekionyesha kiungo mshambuliaji...
KICHUYA ATIBUA HALI YA HEWA SIMBA
SHIZA Kichuya mzee wa kona bao, ametibua hali ya hewa Simba kutokana na uwezo anaozidi kuonyesha kwenye mazoezi ya timu yake hiyo kiasi cha...
HOFU YATAWALA MSIMBAZI, WAKALA WA KAGERE AFUNGUKIA DILI LA KWENDA SPAIN
Baada ya hivi karibuni kuwepo kwa taarifa kuwa baadhi viongozi wa Simba kuwa na hofu na uwezo wa mshambuliaji Meddie Kagere katika kutupia, Wazungu...
MSUVA AWAZIDI KETE WACHEZAJI WOTE EL JADIDA
Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2019 wa klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu ya Morocco.Msuva ameshinda tuzo hiyo...