MUUAJI WA SIMBA APANIA KUWAUMBUA TENA LEO UHURU
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Gerald Mdamu amesema kuwa akipata nafasi leo ya kuanza dhidi ya Simba atapambana kuipa ushindi timu yake ili isonge hatua...
AZAM FC BANA, WAIVUTIA KASI FRIENDS RANGERS
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC, Jana wameanza mazoezi ya kuivutia kasi timu ya Friends Rangers kuelekea kwenye mchezo wao wa hatua...
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI WA YANGA NA MAJINA YA VIONGOZI WAO HAYA HAPA
Farouk ShikaloAlly MtoniKelvin YondaniFei TotoMapinduzi BalamaMohammed BankaPatrick SibomanaJuma AbdulRamadhan KabwiliAli AliMrisho NgassaAbdulaziz MakameJafari MohammedPapy TshishimbiLamine MoroPaul GodfreyDeus KasekeVincent AndrewMetacha MnataDitram NchimbiTariq SeifYikpe GnamienAdeyum Saleh...
SIMBA WASHTUKIWA DILI NA YANGA, HAYA NDIYO MAAMUZI WALIYOFANYA NI NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Jumamosi
BAKARI SHIME AAHIDI FURAHA KILIMANJARO QUEENS
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka ya wasichana wa U17, Kilimanjaro Queens, Bakari Shime amesema kuwa watawafunga Burundi kwa mabao mengi katika...
RIO AKIWASHA, AIPONDA MAN UNITED
MASHABIKI wa Manchester United, juzi waliondoka karibia wote uwanjani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Burnley.Wakiwa kwenye Dimba la Old Trafford,...
HARMONIZE MATATANI TENA, DIAMOND ATAJWA
AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo. Dishi la Risasi Mchanganyiko limenasa skendo...
KOCHA SIMBA AAHIDI MSIBA KWA MWADUI, KAZI IPO LEO
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vanderboeck ametamba kwamba atawashushia kipigo wapinzani wake Mwadui FC ambao anacheza nao leo Jumamosi kwa kuwa tayari ameshalijua...
KOCHA YANGA AIBUKA NA AHADI TAMU
KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji, Luc Eymael, amesema kuwa kutokana na jinsi kikosi hicho kinavyofanikiwa kupata nafasi nyingi za kufunga mabao, ana...
WAWILI WAONDOKA YANGA
WACHEZAJI wa Yanga mshambuliaji mpya Ditram Nchimbi na kiungo fundi Feisal Salum ‘Fei Toto’ wiki iliyopita waliondolewa usiku kwenye kambi ya timu hiyo wakakwea...