ISHU YA KOCHA YANGA KUPEWA ONYO KISA UBAGUZI, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO

0
Baada ya Kocha wao Mkuu, Luc Aymael, kupewa onyo kutokana na kauli ya kusema alifanyiwa ubaguzi, uongozi wa klabu hiyo umesema hauna namna ya...

MAYWEATHER KUPAMBANA TENA NA MCGREGOR NA KHABIB

0
BONDIA Floyd Mayweather ameibuka na kuthibitisha kwamba atapambana na Conor McGregor na Khabib Nurmagomedov katika pambano la kurejeana mwaka huu.Nguli huyo wa ndondi kutoka...

AUSSEMS APOTEZWA SIMBA

0
Sven Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa na idadi kubwa...

YANGA YAJIPIGIA SINGIDA UNITED 3-1, EYMAEL ACHEKELEA USHINDI

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo amesepa na pointi tatu muhimu kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Singida...

VPL : SINGIDA UNITED 0-1 YANGA

0
Dakika ya 24 Morison anapiga kona inakoswa na MolingaDakika ya 23 Moris anachezewa rafu nje kidogo ya 18Dakika ya 22 Molinga anacheza fauloDakika ya...

JESHI LA YANGA LIAKALOANZA LEO DHIDI YA SINGIDA UNITED

0
1-Metacha Mnata2-Juma Abdul3-Jaffary Mohamed4-Lamine Moro5-Said Juma Makapu6-Papy Tshishimbi7-Deus Kaseke8-Haruna Niyonzima9-David Molinga11-Mapinduzi Balama11-Bernard MorrisonAkibaFarouk ShikaloAdeyun Saleh AbdulAziz Makame BuiMrisho NgassaPatrick SibomanaAdam Stanley Yikpe Gislai

MBELGIJI WA YANGA KUKUTANA NA BALAA JINGINE TENA NJE YA DAR MBELE YA SINGIDA...

0
LEO Januari, 22 macho na masikio ya mashabiki ni kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Namfua, uliopo mkoani Singida utakaoikutanisha Singida...

LIVERPOOL YAGOMEA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND

0
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa hawezi kujitangazia ubingwa kwa sasa kwa kuwa safari bado ngumu kuelekea kwenye ubingwa.Liverpool wapo nafasi ya...

MBELGIJI WA YANGA APEWA ONYO

0
Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Tanzania (Kamati ya Saa 72) imetoa onyo kali kwa Kocha wa Yanga Luc Eymael kwa...

YANGA: TUTAREJESHA FURAHA ILIYOPOTEA

0
 ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema leo timu yao itapambana kupata matokeo chanya mbele ya Singida United.Yanga iliyo chini ya Mbelgiji, Luc Eymael...