SIMBA BANA, YATIMIZA 4G MBELE YA ALLIANCE YA MINZIRO
SVEN Vandenbroeck leo ameongoza kikosi chake cha Simba kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Alliance FC, iliyo chini ya Felix Minziro.Alliance leo ilianza...
MAMBO 7 YANAYOILAZIMISHA ASTON VILLA KUHAKIKISHA INAMPATA NA KUMTUMIA SAMATTA
Na Saleh AllyKOCHA Dean Smith wa Aston Villa ndiye aliyemchagua mshambuliaji Mbwana Samatta kutoka KRC Genk kujiunga na kikosi chake kwa ajili ya ukombozi...
LIGI KUU BARA: ALLIANCE 1-0 SIMBA
Alliance 1-0 SimbaUwanja wa CCM KirumbaGoool: Israel Mwenda dk ya 27Dakika ya 30 Chinedu anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 27 Patrick Mwenda anafunga Goooal...
HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA LEO DHIDI YA ALLIANCE FC YA MWANZA, CCM...
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Alliance FC, Uwanja wa CCM Kirumba, Kakolanya tena Manula benchi
SIRI YA AZAM FC KUSHINDA MBELE YA YANGA HII HAPA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kilichowabeba mbele ya Yanga kwenye mchezo wao wa jana Uwanja wa Taifa ni morali ya wachezaji kucheza bila...
SIMBA YATAJA SABABU YA KUIFUNGA ALLIANCE LEO KIRUMBA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu itakayowafanya Simba waifunge Alliance leo ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mechi yao itakayochezwa Uwanja wa...
SARE YA KUFUNGANA MABAO 2-2 NA CRYSTAL PALACE YAMHUZUNISHA GUARDIOLA, AJA NA GIA NYINGINE
KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa wana kazi ya kupambana kupata nafasi ya kushirki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa...
SUALA LA KUCHEZEA WANAWAKE, DIAMOND APEWA ONYO
WAKATI lile penzi shatashata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna Oketch, likidaiwa kupumulia mashine, jamaa huyo...
HATIHATI YA MECHI KATI YA SIMBA NA ALLIANCE KUFANYIKA LEO CCM KIRUMBA
Taarifa zilizotufikia kutoka jijini Mwanza katika dimba la CCM Kirumba ni hatihati ya mechi ya Alliance dhidi ya Simba kufanyika.Kuna uwezekano mechi hiyo iaksogezwa...
BRUNO FERNANDES AZICHANGANYA UNITED, CITY NA CHELSEA
IMEELEZWA kuwa Ole Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United anampigia hesabu nyota wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes.Baada ya dirisha dogo kufunguliwa mwezi Januari,...