KAGERA SUGAR: HAKUNA TIMU NINAYOIGOPA, NIKIFUNGWA NAFUNGWA KWELI, NIKIFUNGA NAFUNGA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kilichompa ushindi mbele ya Yanga ni kujiamini na kuiruhusu timu yake icheze bila hofu.Maxime aliingoza...
MBABE WA YANGA AREJEA SIMBA
Uongozi wa klabu ya Simba umeamua kumrejesha winga wake wa zamani Shiza Kichuya.Mchezaji huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha kikosi cha wekundu hao wa...
TSHISHIMBI AONDOKA YANGA
Inaelezwa kuwa kuwa kiungo wa Yanga, Mkongomani, Papy Tshishimbi ametimkia kwao Congo kuangalia familia yake.Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael, alisema Papy...
KAGERA SUGAR YAMUIBUA HAJI MANARA KWA FUJO, ATOA TAMKO ZITO JUU YA YANGA
Baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara jana, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara,...
SERIKALI YAHOJI KUHUSIANA NA BILIONI NNE ZA MO DEWJI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye ni shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba, amehoji juu ya matumizi ya Sh. bilioni 4...
KIMENUKA!! MCHEZAJI YANGA AAMUA KUKIWASHA, AMKATAA KOCHA MPYA
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa jana kunako Uwanja wa Uhuru, Dar es...
MAN UNITED YAIPIGA CHINI BARCELONA
Miamba ya soka ya Premier League, Manchester United imeendelea kuwa kileleni kwenye maswala uingizaji wa mapato ngazi ya klabu England.United imezidi kuwa moto wa...
ISHU YA MADAWA YA KULEVYA, HARMONIZE APEWA ONYO
ONYO! Kama mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ atakuwa ameanza mchezo mbaya wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’, basi mashabiki...
KOCHA MPYA YANGA AANIKA MIFUMO MITATU YA KIBABE
Akiwa na siku nane tangu akabidhiwe mikoba ya kuinoa Yanga, Kocha Mkuu mpya wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji amesema kwamba atatumia mifumo...