TOTTENHAM WABISHI KWELI, WAIGOMEA MKWANJA WA INTER MILAN NA KUWAPA MASHARTI MENGINE
UONGOZI wa Tottenham umeigomea timu ya Inter Milan kumpata nyota wake Christian Eriksen ambaye yupo kwenye mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho.Tottenham iliyo...
KICHAPO CHA BAO 1-0 MBELE YA MTIBWA SUGAR CHAFUMUA MIPANGO YOTE SIMBA, CHEKI HESABU...
BAADA ya Simba kulipoteza mara ya pili mfululizo Kombe la Mapinduzi kwa kupokea kichapo cha 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar hesabu zao zimebadilika ghafla...
YANGA NOMA YATAWALA KIKOSI CHA KWANZA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI...
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, Januari 15,2020, lipo mtaani
NAMNA SERIKALI ILIVYOMRUDISHA MO DEWJI SIMBA
Baada ya Mwekezaji Mkuu wa klabu ya Simba, Mo Dewji kutangaza kujiondoa katika Bodi ya klabu hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...
NIYONZIMA AINYIMA UBINGWA SIMBA
Kiungo mtoa burudani awapo uwanjani, Haruna Niyonzima, amesema yupo katika kikosi cha Yanga ili kuipa ubingwa timu hiyo na si kitu kingine.Kauli ya Niyonzima...
KOCHA YANGA AANZA NA SIMBA, HILI NDIYO TAMKO LAKE
Siku chache baada ya Mbelgiji, Luc Eymael kutua nchini kuja kuinoa Yanga, ametamba kwamba anataka sana kukutana na wapinzani wao wa jadi Simba kutokana...
WINGA MZAMBIA MAMBO SAFI YANGA
Achana na uwezo mkubwa aliouonyesha starika Muivory Coast, Yikpe Gnaimen, unaambiwa yupo winga Mzambia, Eric Kabamba, huyu ni hatari na tayari benchi la ufundi...
MAXIME ASHANGAZWA NA MOHAMMED BANKA
Kiwango cha juu cha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohammed Issa ‘Banka’ ambacho hivi karibuni alikionyesha katika mchezo dhidi ya Simba, kimeonekana kumtisha Kocha Mkuu...
WINGA SIMBA ATUA YANGA KWA MILIONI 30
WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya, amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu wa Ligi Kuu Bara.Kichuya...
SAA 168 ZATENGWA YANGA, HII NDIYO MIKAKATI YAKE CHINI YA MBELGIJI
KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa ametenga wiki moja, sawa na saa 168 kwa ajili ya kukitazama kikosi chake...