POLISI TANZANIA YAMDAKA KIPA WA SIMBA, YAMPA MWAKA MMOJA
MANYIKA Peter Manyika ambaye ni mlinda mlango amekamilisha dili lake la kujiunga na Polisi Tanzania kwenye usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa kesho, Januari...
MO ATOA TAMKO LINGINE JIPYA NDANI YA SIMBA BAADA YA KUPOTEZA KOMBE LA MAPINDUZI
BAADA ya jana kupitia ukurasa wake wa kijamii kuandika kwamba anaondoka kwenye nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba kutokana na timu hiyo...
BENO KAKOLANYA KATUZIDI NAMNA YA KUFIKIRI KUHUSU MANULA
NA SALEH ALLYNILIMSIKIA kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya akihojiwa na runinga ya Azam TV kuhusiana na namna alivyofanya vizuri na kuisaidia Simba...
VALVERDE ACHIMBISHWA MAZIMA NDANI YA BARCELONA, SETIEN KUBEBA MIKOBA YAKE
BARCELONA imefika hatua ya makubaliano ya kuachana na Ernesto Valverde aliyekuwa Kocha Mkuu wa tImu hiyo kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake ndani ya...
AZAM FC YAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI FASTA, MMOJA NI MFUMANIA NYAVU KIMATAIFA
NEVER Tigere,kiungo aliyekuwa akikipiga ndan ya FC Platinum ya Zimbabwe amesaini kadnarasi ya mwaka mmoja.Tigere ni pendekezo la benchi la ufundi la Azam FC,...
HAJI MANARA AAMUA KUWACHANA TENA YANGA JUU YA USAJILI WA KOTEI, AJA NA KAULI...
Baada ya kuenea kwa tetesi ambazo awali zilikuwa zinasema kuwa Yanga wanamhitaji kiungo aliyewahi ichezea Simba, James Kotei, Ofisa Habari wa Simba, ameibuka na...
LINGINE LAIBUKA JUU YA YANGA NA JAMES KOTEI
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa haujaamua kumsajili kiungo aliyekuwa akiichezea Simba, James Kotei sababu hana ubora wa kuichezea timu hiyo.Kwa mujibu wa...
ZAHERA AIBUKA UPYA, AINGILIA USAJILI YANGA, HILI NDILO TAMKO LAKE
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameibuka na kuwapa hongera Yanga kufuatia usajili wa kiungo, Owen Bonyanga Ituku, kutoka TP Mazembe.Zahera ameeleza kuwa mchezaji...
KOCHA MPYA YANGA AANZA NA MADINI HAYA
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba kocha wao mpya, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, tayari ameanza kumwaga madini ndani ya kikosi chake...
BREAKING; KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA MTIBWA, MO ABWAGA MANYANGA
BAADA ya Simba kushindwa kuchukua taji la Mapinduzi leo Visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mo ameamua kujiuzulu kwa kuandika namna...