MSHAMBULIAJI WA YANGA AWAPANIA TOWNSHIP ROLLERS
JUMA Balinya, mshambuliaji wa timu ya Yanga amesema kuwa aanaanza kazi rasmi mbele ya Township Rollers baada ya kushindwa kutupia bao kwenye mchezo wa...
MABINGWA SIMBA KUKWEA PIPA IJUMAA KUWAFUATA UD SONGO KWA ‘DEGE’ LA KUKODI
CRESCENTIUS Magori, Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba amesema kuwa maendeleo ya kikosi cha Simba kimataifa yapo sawa na wana matumaini ya kupata matokeo...
KMC YAPANIA KUPEPEEUSHA BENDERA KIMATAIFA
YUSUF Ndikumana, nahodha msaidizi wa kikosi cha KMC amesema kuwa maandalizi yapo sawa na wanakwenda kupambana nchini Rwanda.KMC itamenyana na AS Kigali Agosti 10...
KINDA WA BOUNRERMOUTH ATABIRIWA MAKUBWA MSIMU UJAO NDANI YA LIGI KUU ENGLAND
LIOYD Kelly, kinda anayekipiga Bournermouth mwenye umri wa miaka 20 anapewa nafasi kubwa ya kufanya makubwa kwenye Ligi Kuu England ambayo inatarajiwa kuanza kutimua...
LUKAKU KUPEWA ADHABU NA MANCHESTER UNITED KWA KUGOMEA KUFANYA MAZOEZI
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Romelu Lukaku atapewa adhabu na klabu hiyo Kwa kukosa mazoezi bila ruhusa.Nyota huyo wa timu ya Taifa ya Ubelgiji mwenye...
SIMBA YAWAANGUKIA MASHABIKI WAKE
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hauna neno la kusema kwa sasa kwa mashabiki wake zaidi ya kuwashukuru kwa kujitokeza kwa wingi jana uwanja wa...
YANGA WAANZA KUIWINDA TOWNSHIPP ROLLERS, LEO KUKINUKISHA DHIDI YA MLANDEGE
JESHI zima la Yanga kwa sasa lipo visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya kiamataifa ambapo Jumamosi watakuwa kazini kumenyana na Township...
ARSENAL YAHAHA KUMPAMBANIA LACAZZETTE
ALEXANDRE Lacazzette, mshambuliaji wa Arsenal kwa sasa anatibiwa majeraha yake aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Lyon wikiendi iliyopita.Lacazzette hakuwa sehemu ya kikosi kilichoivaa Barcelona...
AZAM FC WAOMBA DUA KWA MASHABIKI, SASA WAPO ADIS ABABA
MABINGWA watetezi wa Jombe la Shitikisho Azam FC wamekwea pipa kuifuata Fasil Kenema ya Ethiopia.Azam FC itamenyana na Kenema Agosti 10 ukiwa ni mchezo...
SERIKALI YAJIVUNIA TIMU NNE KIMATAIFA
PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa kwa sasa Serikali inajivunia uwepo wa timu nne ambazo zinawakilisha nchi kwenye michuano...