AZAM FC WAJANJA KINOMA WATANGALIZA MASHUSHU ETHIOPIA, KESHO KUKWEA PIPA KUIFUATA KENEMA
KIKOSI cha Azam FC, kinatarajia kuondoka nchini kuelekea Ethiopia, kesho Jumatano saa 10 alfajiri kwa ajili ya kuiwahi Fasil Kenema kwenye mchezo wa raundi...
ABDI BANDA AANZA MAISHA MAPYA YA SOKA
ABDI Banda, nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' baada ya kuitumikia Baroka FC kwa miaka miwili inaelezwa kwa sasa...
BIASHARA UNITED : TUMEJIPANGA KULETA USHINDANI MSIMU UJAO
KOCHA wa Biashara United, Amri Said amesema kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkali hivyo hawatafanya uzembe mwanzoni.Akizungumza na Saleh Jembe, Said amesema kuwa msimu...
NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA
TIMU zote mbili Simba pamoja na Power Dynamo zimewasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha SportPesa Simba Wiki. Mashabiki wengi wamejitokeza...
YANGA: KIKOSI CHA KAZI HIKI LAZIMA TUTUSUE MWANZO MWISHO
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kimetengamaa hivyo hana mashaka na ushindani wa msimu ujao pamoja na mechi...
JUVENTUS, REAL MADRID WAPIGANA VIKUMBO KUINASA SAINI YA POGBA
REAL Madrid imeweka mezani pauni milioni 27.6 pamoja na nyota wao James Rodriguez ili kumpata kiungo wao Paul Pogba dili ambalo inaelezwa lilipigwa chini...
TANZANITE KUISHUSHIA KICHAPO ZAMBIA
BAKARI Shime Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa leo waapambana kupata matokeo chanya mbele ya...
MWENDO WA KUUJAZA UWANJA WA TAIFA KWA SIMBA UNAENDELEA
TAYARI mashabiki wa timu ya Simba wameanza kuujaza uwanja wa Taifa muda huu kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.Leo ni...
RATIBA YA TANZANIA KUFUZU MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA KWA MATAIFA YA AFRIKA
RATIBA ya michezo ya awali kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi itakayochezwa kati ya Septemba 2-9,2019 mchezo wa kwanza ukichezwa ugenini na mchezo...
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MGENI RASMI LEO UWANJA WA TAIFA
SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Power Dynamo.Mgeni rasmi anatarajiwa...