GSM WASHUSHA MZIGO WA JEZI MPYA ZA YANGA…
Kampuni ya GSM leo wameshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya hule wa awali kumalizika saa chache mara baada ya kuzinduliwa.Akizungumza...
BAADA YA WIKI YA WANANCHI, YANGA KUPAA ZANZIBAR KESHO
Kikosi cha Simba kesho asubuhi kitasafiri kwenda Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kambi ya pamoja kujiandaa na mchezo wao awali wa Ligi ya Mabingwa...
MANCHESTER UNITED YAMALIZANA NA MAGUIRE, AWA BEKI GHALI DUNIANI, PINI MIAKA SITA
HARRY Maguire, anaingia kwenye rekodi ya mabeki ghali duniani baada ya usajili wake kukamilika na Manchester United kuthibitisha kuwa wametumia pauni milioni 80 likiwa...
MO HAJAGUSA HATA SHILINGI KWENYE BILIONI 20 KUWEKEZA KWENYE UWANJA WA BUNJU
MOHAMED Dewji, 'Mo' Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba amesema kuwa uwekezaji wake wa bilioni 20 haupo kwenye mpango wa Uwanja wa Bunju.Simba leo...
SIMBA HAWANA DOGO, WALIANZISHA TENA KISA MTINDO WA UTAMBULISHO WA YANGA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kesho lazima aje na mtindo mpya wa utambulisho baada ya ile ya awali kudai wameiba watani...
IKIBAINIKA KWELI, R KELLY KUFUNGWA MIAKA 195
MSANII nguli duniani wa miondoko ya R N B, R. Kelly anayekabiliwa na mshitaka 13 ya unyanyasaji wa kingono huenda akafungwa miaka 195 endapo...
KIKOSI KAMILI CHA KMC MSIMU WA 2019/20
KIKOSI cha timu ya Manispaa ya Kinondoni 'KMC' kilicho chini ya Kocha Mkuu, Jackson Mayanja msimu wa mwaka 2019/20 hiki hapa
KOCHA YANGA KUBADILI MAZIMA UTUPIAJI WAKE, SASA KUVAA KIBINGWABINGWA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa msimu ujao atakuwa anatupia pamba kali zaidi ya msimu uliopita.Zahera msimu uliopita alikuwa anapenda kuvaa tisheti...
BUNJU KUMENOGA, DR.MWAKYEMBE, MO WAFANYA UKAGUZI
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewasili uwanja wa Bunju leo kwa ajili ajili ya kuweka jiwe la msingi.Mwakyembe ameongozana...