MBASHA AANIKA HISIA ZAKE LIVE KWA FAIZA ALLY BAADA YA KULIA KISA SUGU, AMTAKA...
"Mwanamke mrembo sana huyu lakini kavimba macho kwa ajili ya kumlilia mwanaume asiyemtaka. "Dah! Faiza kwanini ung'ang'anie mtu asiyekutaka wakati sisi tunaokupenda tupo hapa? Yaani...
TSHISHIMBI KUFIKISHA YANGA HATUA WALIYOFIKA SIMBA CAF
Papy Tshishimbi ambaye ni nahodha wa timu ya Yanga kwa sasa ameweka msisitizo wa timu yake kufika katika rekodi ambayo iliwekwa na wapinzani wao...
KIUNGO YANGA AWAHAKIKISHIA WANACHAMA KUICHAKAZA ZESCO
Nahodha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amesema wanajiandaa vema kuhakikisha wanashinda mchezo wa nyumbani kabla ya kurudiana nchini Zambia kwa wapinzani wao, Zesco...
ZAHERA WALA HATISHIKI KABISA NA LWANDAMINA, MWENYEWE AFUNGUKA HAPA
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ametamba kwamba licha ya kwamba anakutana na kocha ambaye aliwahi kuinoa Yanga, George Lwandamina, lakini hana hofu hata...
UWANJA WA SIMBA BUNJU HUU HAPA
Muonekano wa Uwanja wa Simba unaozidi kujengwa huko Bunju jijini Dar es Salaam.
TAMBWE AONYA DISMAS TEN KUONDOLEWA KWENYE NAFASI YAKE, ATAJA NJIA MBADALA
Aliyekuwa mchezaji Yanga, Mrundi, Amis Tambwe, amesema kuwa kitendo cha klabu hiyo kufanya mabadiliko ya nafasi ya msemaji haina maana ya kuwa itachangia kuleta...
MIMI SIISHI KISTAA – VIDEO
Msaniii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, aliyekuwa miongoni wa mastaa waliohudhuria uzinduzi wa filamu mpya ya msanii Gabo uliofanyika jana katika ukumbi...
ZAHERA AWAJIBU TFF KUHUSIANA NA KANUNI ZA MAVAZI
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema kuwa hapa duniani hakuna sheria inayomtaka kocha avae namna gani.kauli ya Zahera imekuja kufuatia Shirikisho la Soka...
FEDHA ZA EMMANUEL OKWI ZAIBULIWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, KAZI IPO
Wiki jana kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu palikuwa pa moto. Fedha za mauzo ya Emmanuel Okwi kwenda Etoile du Sahel zilizidi kuibua mambo...