MWINYI ZAHERA AAMUA KUFUNGUKA JUU YA KOCHA SIMBA
Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa kocha wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems anampa kiburi cha juu cha kumchapa mpinzani wake George Lwandamina...
MMOJA BADO HAIJAELEWEKA STARS
Bado haijajulikana Mbwana Samatta atatua muda gani kwenye kikosi cha Taifa Stars lakini Farid Mussa na Himid Mao wameshawasili na wanapiga mzigo.Simon Msuva na...
RATIBA SIMBA YAVUNJWA
Benchi la ufundi la timu ya Simba chini ya Kocha wake Mkuu, Mbelgiji, Patrick Aussems, limevunja kambi ya mazoezi kwa muda wa siku tatu.Maamuzi...
AMRI KIEMBA AWACHAMBUA WATANI WA JADI ‘UKICHEZA SIMBA LAZIMA UWE NA UDAMBWI, YANGA ….
Alichokizungumza mchezaji Amri Kiemba kuhusiana na utofauti baina ya Simba na Yanga hiki hapa."Kuna mchezaji anastahili kucheza Yanga na kuna mchezaji anayestahili kucheza Simba...
SIMBA KUSHUSHA STRAIKA MKALI ZAIDI YA OKWI, NI HUYU HAPA
Inaelezwa kuwa uongozi wa klabu ya Simba upo kwenye mipango ya kushusha straika wa maana katika dirisha dogo la usajili.Maamuzi hayo yanakuja kutokana na...
MFAHAMU VIZURI SHIBOUB ALIPOZALIWA MPAKA ANATUA SIMBA – VIDEO
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamedhihirisha hawataki kufanya makosa msimu ujao kwenye ligi hiyo kufuatia kuendelea kujiimarisha walivyoinasa saini ya kiungo wa...
VIDEO: TUKIO LA NDOA YA SUGU JIJINI MBEYA
MBUNGE wa Mbeya mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’ leo tarehe 31, Agosti, 2019, amefunga pingu za...