SIMBA: KAZI LEO NI NGUMU ILA TUPO TAYARI KUPENYA

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wa leo utakuwa mgumu na kazi yao itakuwa moja kutafuta matokeo.Akizungumza muda mfupi kabla ya...

NAMNA DSTV WALIVYOFYEKA VIFURUSHI NA KUPUNGUZA BEI, SASA EPL NI MCHEKEA KINOMAAA

0
DStv yafyeka bei za vifurushi vyake!Wateja kuendelea kushuhudia burudani kabambe kwa bei ‘mtelezo’!Agosti 25 2019 – DStv Tanzania imethibitisha rasmi kupunguza kwa kiasi kikubwa...

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA UD SONGO HIKI HAPA

0
Kikosi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya UD Songo, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3.Gadiel Michael4. Erasto Nyoni5. Pascal Wawa6....

HIZI HAPA NNE KUSHUKA UWANJANI LEO TPL

0
LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na Vodacom inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa kwa timu nne kushuka uwanjani kama ifuatavyo:-Mwadui v Singida United, uwanja...

RAIS KARIA AIPONGEZA YANGA

0
Rais wa Shirikisho la Soka nchini amezipongeza timu za Azam FC na Yanga kwa kufanikiwa kuibuka na ushindi katika mechi zao za mashindano ya...

MWAMBA WA LUSAKA KUENDELEZA MAKALI YAKE LEO CAF?

0
Kama hatajwi sana lakini ni moja ya soka ndani ya miamba wa Msimbazi, Simba SC kutokana na mchango wake wa kuiwezesha timu hiyo kutinga...

ZESCO UNITED KUKUTANA NA YANGA KWA MKAPA

0
Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Green Mamba ya Eswatin umewafanya miamba hao wa Zambia kukutana na Yanga katika mechi ya raundi ya kwanza...

LIST KAMILI YA WACHEZAJI SIMBA WATAKAOIKOSA UD SONGO LEO HII HAPA – VIDEO

0
Kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems akifunguka kuhusiana maandalizi ya mchezo wa leo dhidi ya UD Songo.

MBOSSO AFUNGUKA, ASEMA WCB NI PAGUMU, AELEZA DIAMOND NI TATIZO – VIDEO

0
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Mbosso Khan, anayetamba hivi sasa na ngoma yake ya MAAJAB, amefunguka kuhusiana na watoto wake ambao kwa sasa...

TOWNSHIP ROLLERS YAENDELEA KUMPA ULAJI ZAHERA YANGA

0
Dalili zinaonesha Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ataendelea kusalia kunako timu hiyo baada ya ushindi wa jana dhidi ya Township Rollers.Yanga ilifanikiwa kuitandika...