RATIBA YA SPORTPESA SIMBA WIKI IPO NAMNA HII
AGOSTI 6 kwa kuchezwa mechi ya kirafiki baina ya Wekundu hao dhidi ya Power Dynamo kutoka Zambia.Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Crescentius Magori amesema...
AZAM FC: TUPO TAYARI KWA LIGI MSIMU UJAO
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ushindani kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari...
WATU WAENDELEA KUCHOTA MKWANJA NDANI YA SPORTPEA, CHALII AONDOKA NA MILIONI 6 NA USHEE
Mkazi wa Arusha, Bw. Gidion Siuhi Irumba akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,233,934 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki...
DUH! SIMBA YAIPIGA DOGO LA KIAINA YANGA WAZIWAZI
HAJI Manara ni kama amewatupia dongo wapinzani wake Yanga kiaina kutokana na kauli yake kwamba wengi wamewaiga siku ya Simba day na wameiga kwa...
NYOTA HAWA WA SIMBA WAMPASUA KICHWA MBELGIJI
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana kazi ngumu ya kufanya kwa sasa baada ya nyota wake kujiunga na timu ya Taifa.Kocha...
BAJETI YA SIMBA KWENYE SIMBA DAY MSIMU HUU NI MARA MBILI YA MSIMU ULIOPITA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bajeti yao msimu huu kuelekea siku ya Simba day ni moto wa kuotea mbali kwani wamejipanga kutumia mkwanja mrefu.Mtendaji...
LIVERPOOL WATAJA SABABU YA KUSMAJILI KINDA ELLIOT KUTOKA FULHAM
JURGEN Klopp Meneja wa Liverpool amesema kuwa usajili wa kinda Harvey Elliot ndani ya klabu yake ni mzuri na wenye manufaa.Klopp amesema kuwa lengo...
MBARAZIL WA SIMBA AKIWASHA HUKO SAUZI
MBRAZIL anayekipiga Simba ambaye ni kiraka anacheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji Gerson Vieira amesema kuwa ni furaha kuwa ndani ya...
MANENO YA AUSSEMS KUWASHTUA YANGA KUWA WALE JAMAA WA BOTSWANA “SI WATU WAZURI”
TOWNSHIP ROLLERSMbelgiji Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ni Kocha wa Mabingwa wa Tanzania, Simba amewaonya Yanga kuhusiana na wapinzani wao kutoka Botswana.Aussems amewaambia wapinzani wao...