MAURIZIO SARRI HATIHATI KUIKOSA PARMA JUMAMOSI, HALI YAKE SIO NJEMA
UONGOZI wa Juventus umethibitisha kwamba kocha wao Maurizio Sarri anasumbuliwa na Nimonia na ripoti zimethibitisha kuwa mapafu yake yapo katika hali mbaya sana.Sarri huenda...
ULE USAKWAJI WA WATANO WALIOMTEKA MO DEWJI WAFIKIA HAYUA HII
Imeripotiwa kuwa watuhumiwa watano wanaendelea kusakwa na polisi kwa ajili ya kuunganishwa katika kesi ya kutekwa kwa Mfanyabiashara kijana bilionea, Mohammed Dewji 'Mo'.Upande wa...
SIMBA KUPOKEA TUZO CAF
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake Haji Manara, umesema kuwa unaweza kupata tuzo kutoka CAF ya kujaza Uwanja wa Taifa jijini...
MAKONDA AMLIPUA DIAMOND JUU YA ISHU YA NDOA – VIDEO
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Agost 20, 2019 amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya...
HARMONIZE KUGOMBEA UBUNGE 2020
ACHANA na gumzo lake la kudaiwa kujitoa kwenye lebo iliyomlea kimuziki ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gumzo lingine...
HAJI MANARA AFUNGUKA JUU YA HATMA YA KITI CHAKE CHA USEMAJI NA SIMBA
Na George MgangaOfisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema nafasi ya usemaji ndani ya klabu hiyo ipo chini yake mpaka sasa.Manara ameamua kuliweka wazi...
HIVI HAPA VIIINGILIO VYA SIMBA KIMATAIFA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wa marudio wa kimataifa dhidi ya UD Songo tiketi ziaanza kuuzwa Alhamisi.Simba itamenyana...
KUMUONA NIYONZIMA AKIPATA TAABU UWANJA WA TAIFA MBELE YA KMC BUKU MBILI TU
HARUNA Niyonzima, nyota wa zamani wa Simba na Yanga anayekipiga AS Kigali atakuwa na kibarua kizito Ijumaa, mbele ya KMC mchezo wa marudio wa...
MBEYA CITY WAO WAIKOMALIA TANZANIA PRISONS
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kikosi kitarejea kwenye makali yake ya zamani.Mwambusi amerejea nyumbani baada ya kupigwa chini na Azam FC...