BOB JUNIOR ARUDI KWA KISHINDO, AMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ – VIDEO
MSANII Bob Junior ambaye alifanya vizuri sana katikati ya miaka ya 2000 kwa kuachia hit songs kama Oyoyo, Nichum na zingine nyingi amefanya Exclusive...
BOB JUNIOR AMTAJA HARMONIZE, DIAMOND – VIDEO
Msanii nguli wa muziki wa Bongo fleva Bob Junior amesema kosa lake ni kukaa kimya kwa muda mrefu na ndio maana alikuwa hasikiki.Ameongeza kuwa...
TANZANIA YAANZA KWA KUCHECHEMEA MICHUANO YA CECAFA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania Chini ya Miaka 15 leo kimeanza kwa kuchechemea mbele ya Uganda kwa kupoteza mchezo wa kwanza kwa...
MASHINE 21 ZA MAANGAMIZI YANGA ZILIZOONDOKA KWENDA KUMALIZA KAZI BOSTWANA
Kikosi cha yanga kilichoondoka Dar es Salaam kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers.1. Metacha Mnata2. Paulo Godffrey3. Kelvin...
MANARA ATAJA SABABU ZA SIMBA KUTOJAZA UWANJA MECHI NA AZAM FC
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba baada ya mechi vs Azam kushindwa kuujaza Uwanja, azungumzia pia mechi na UD Songo.
TAMBWE AIKOSOA SAFU YA ULINZI SIMBA, ATUMA OMBI KWA MBELGIJI
Straika wa Yanga kutoka Burundi, Amis Tambwe, amefunguka kwa kusema kuwa amefurahishwa na nafasi ya ushambuliaji ya Simba kufuatia ushindi waliopata katika mechi ya...
KOCHA SIMBA: TFF WANAIANGUSHA YANGA
Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Mbelgiji Patrick Aussems, amesema kuwa haoni dalili nzuri ya kufanya vema kwa timu za Tanzania katika michuano ya...
DAVID LUIZ APIGIWA CHAPUO LA UNAHODHA ARSENAL
KOCHA wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo.Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea Chelsea Kwa ada ya...
ISHU YA POGBA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED MENEJA AFUNGUKA
MENEJA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa kiungo Paul Pogba atabaki ndani ya kikosi.Popga amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya kikosi hicho ambacho...
MANULA AVUNJA UKIMYA, AFTOA TAMKO KUHUSIANA NA KAKOLANYA
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amekiri kuwa kiwango cha kipa mwenzake, Benno Kakolanya kipo juu na anaamini atakuwa na msaada mkubwa katika...