HAWA WATAPIGA PENALTI, FAULO, KONA
MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara umezindulies rssmi jana Jumamosi kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Azam FC, mchezo ambao...
RAGE AZUNGUMZIA USAJILI WA DEO KANDA SIMBA
ISMAIL Aden Rage ambaye ni mwenyekiti wa zamani wa Simba, ameweka wazi kuwa timu hiyo imelamba dume kwa kuwasajili mshambuliaji Deo Kanda na kiungo...
NI MSALA MWINGINE YANGA, SERIKALI YAMPIGA STOP BALAMA, SABABU ZATOLEWA
IDARA ya Uhamiaji Tanzania imemzuia kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Mapinduzi Balama kujiunga na kambi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Ligi ya...
MBRAZIL SIMBA AANZA KUJIFUNZA KISWAHILI
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa beki mpya wa timu hiyo, Mbrazili, Tairone Santos Da Silva ameanza kujifunza Lugha ya Kiswahili na...
HIVI NDIVYO SIBOMANA ALIVYOMPA ZAHERA KIBURI
KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera, ameanza jeuri kwa kutamka kuwa kwa safu bora ya ushambuliaji aliyonayo hivi sasa hakuna mabeki watakaowazuia kufunga mabao.Kauli hiyo...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
SADIO MANE NI ANA BALAA NDANI YA LIVERPOOL
SADIO Mane, mshambuliaji wa kikosi cha Liverpool amesema kuwa furaha yake ni kuona timu yake inashinda kwenye michezo wanayocheza kwa sasa kutokana na ushindani...
LIVE: SIMBA 2-1AZAM FC
UWANJA wa Taifa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba dhidi ya Azam FC.Huu ni mchezo wa ngao ya Jamii, Simba inaongoza kwa...
REKODI ZA MBRAZIL WA YANGA BADO ZINAPETA TU BONGO
NGAO ya jamii kwenye jumla ya mechi 11 zilizochezwa tangu 2001 mabao 22 tu yamefungwa.Katika mabao hayo hakuna hat trick hata moja mpaka sasa...
YANGA NI BALAA, YAIKIMBIZA SIMBA NA AZAM KINOMA
TANGU mwaka 2001 ambapo mechi za Ngao ya jamii zilianza kuchezea hapa nchini tayari zimechezwa mechi 11.Yanga inaoongoza Kwa kucheza mechi nyingi ambazo ni...