LIIVE!! TOWNSHIP ROLLERS 0-0 YANGA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Dak ya 8, Yanga wanapata kona ya kwanza, inapigwa lakini inashindwa kuzaa matundaDak ya 7, Paul Boxer anarusha mpira kuelekea lango la wapinzaniDak ya...
KIKOSI CHA AZAM FC VS FASIL KENEMA
Kikosi cha Azam FC dhidi ya Kenema1. Razak Abalora2. Nickolas Wadada3. Bruce Kangwa 4. Daniel Amoah 5. Yakubu Mohamed 6. Frank Domayo7. Emmanuel Mveyekure8. Salum Abubakary Sure...
KIUNGO SIMBA APEWA NYUMBA UZUNGUNI
UWEZO wa Kiungo mshambuliaji wa Simba, Msudan, Sharaf Eldin Shiboub umempa heshima kubwa kwa wadau wa soka la Tanzania.Maujuzi aliyoonyesha kwenye mechi ya Ngao...
PRETTY KIND: NGUO NINAZOVAA NI ZA GHARAMA KUBWA
MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii ya Mystyle, natumai unaendelea poa na shughuli za kulijenga taifa. Kama unaumwa, basi Mungu akupe nguvu na...
KIKOSI CHA MAUAJI YANGA DHIDI YA TOWNSHIO ROLLERS HIKI HAPA
Kikosi cha Yanga kitakachocheza dhidi ya Township Rollers leo.
KARIA AJA KAULI KALI KUHUSU NEMBO YA VODACOM, ATAKAYEBADILI RANGI KUPIGWA CHINI
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema hakuna timu yoyote itakayoruhusiwa kubadili rangi ya nembo ya mdhamini katika jezi.Kauli hiyo imekuja...
HIZI HAPA 10 KUFUNGULIA LEO VPL
LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20Namungo v Ndanda FC...
KMC WABADILI GIA ANGANI, SASA MAKALI YAO YAELEKEZWA HUKU
JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa kikosi kinaelekeza nguvu zake kwenye michezo ya ligi kuu ambayo inaanza leo.Jana KMC ilipoteza...
WABABE WA YANGA WAAHIDI KUANZA LIGI KWA KASI YA 4G
TIMU ya Polisi Tanzania, imetamba kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kesho...
AZAM FC YAPANIA KUMALIZA BIASHARA UWANJA WA CHAMAZI JUMLAJUMLA
LEO Azam FC wana kazi moja tu mbele ya Fasil Kenema ya Ethiopia kutafuta ushindi wa mapema.Huu ni mchezo wa marudiano wa Kombe la...