BLUE KUKUSANYA KIJIJI LEO MBAGALA, KUPIGA SHOO YA KIBABE MFANO HAKUNA
MSANII nguli kwenye muziki wa Bongo fleva, Mr. Blue amesema kuwa leo atatoa burudani ambayo haina mfano kwenye ukumbi wa Taifa wa Burudani Dar...
HAMISA MOBETO LEO KUPIGA LIVE NA BENDI YAKE DAR LIVE, AWAITA MASHABIKI
HAMISA Mobeto, mwanamitindo na mwanamuziki amewaambia mashabiki wake kujitokeza kwa wingi leo Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhiem kupata...
ROLLERS: MUZIKI WA YANGA SIO WA KITOTO, TUNAJIPANGA KUPATA MATOKEO
KOCHA Mkuu wa Township Rollers,Thomas Truch, Kocha Mkuu wa Township Rollers amesema kuwa kikosi chake kina kazi ngumu ya kufanya mbele ya Yanga baada...
SIMBA YAJIPA ANGALIZO KUELEKEA MCHEZO WA KIMATAIFA DHIDI YA UD SONGO
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, ametoa tahadhari kwa wachezaji wenzake akisema kwamba hawatakiwi kuwachukulia kirahisi wapinzani wao UD do Songo.Simba itamenyana na UD Songo...
MRITHI WA MAKAMBO YANGA ATABIRIWA MAKUBWA , HIKI NDICHO KINACHOMPONZA ASHINDWE KUTAMBA
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale ambao wanabeza uwezo wa mshambuliaji wake mpya, David Molinga watamuelewa tu ligi ikianza.Molinga ni mshambuliaji...
TANZANITE KUREJEA LEO BONGO NA KOMBE LAO LA COSAFA
Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya Miaka 20 'Tanzanite' ilialikwa kushiriki michuano ya COSAFA iliyokamilika jana nchini Afrika Kusini na wameibuka mabingwa wapya...
MESSI ANAPAMBANA KUWA FITI KUKINUKISHA DHIDI YA ATHLETIC BILBAO
LIONEL Messi staa wa Barcelona ameanza mazoezi ya Gym ikiwa ni sehemu ya matibabu yake kufuatia majeraha aliyoyapata hivi karibuni.Messi aliumia mara baada ya...
KOCHA SINGIDA UNITED AANZA KUTEMA CHECHE
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Singida United amesema kuwa kazi itakuwa moto msimu ujao kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya.Akizungumza na Saleh Jembe, Minziro amesema...
MBELGIJI WA SIMBA AWAPA MAPUMZIKO WACHEZAJI WAKE
WACHEZAJI wa Simba leo kazi ni kwao kuamua kula bata ama kupumzika na familia zao nyumbani ama kwenda kwa ndugu na majamaa.Ruksa hiyo ni...
KUWAONA WA KIMATAIFA SIMBA NA AZAM FC TAIFA BUKU TANO TU
MCHEZO wa Ufunguzi wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Simba unatarajiwa kupigwa Agosti 17 uwanja wa Taifa.Mchezo huo ni wa ufunguzi...