DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA
DEOGRATIUS Munish 'Dida' amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana...
KUMBE! CAF NDO CHANZO ZA VIPORO BONGO
UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba...
KAGERA SUGAR YAMVUTIA KASI MUIVORY COAST KUMRITHI KASSIM KHAMIS
WILLFRED Kouroma mshambuliaji wa Biashara United raia wa Ivory Coast ameingia kwenye rada za uongozi wa Kagera Sugar ambao wanaimarisha kikosi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar...
NAMUNGO FC KUMCHOMOA MMOJA KUTOKA SIMBA
ZANA Coullibary mzee wa kumwaga na kumimina maji sasa ni wazi msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Namungo FC endapo dili litakamilika akitokea...
ALGERIA BINGWA MPYA WA AFRIKA, AMNYOOSHA SENEGAL KIDOGO TU
BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri...
JESHI KAMILI LA AZAM FC LEO NUSU FAINALI KAGAME, CHIRWA OUT
Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachotarajia kumenyana dhidi ya AS Maniema ya Kongo, kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame,...
SIMBA QUEENS WANAPETA TU MAJUU
KIKOSI cha timu ya Simba ya Wanawake, Simba Queens bado kinaendelea na ziara yake ya wiki mbili nchini Ujerumani.Ziara hiyo ambayo ni maalumu kwa...
TFF: MDHAMINI MAMBO SAFI, KINACHOSUBIRIWA NI KUSAINI TU MKATABA
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2019/20 ameshapatikana na...
UNITED KUMVIMBISHA MIFUKO DE GEA
DAVID de Gea anatazamiwa kusaini kandarasi mpya ya miaka mitano kuendelea kuitumikia klabu yake hiyo huku mshahara wake ukizidi kutuna.Mlinda mlango huyo hakuwa na...
PSG: ISHU YA NEYMAR KUTAKA KUSEPA ILIKUWA INAJULIKANA KITAMBO
THOMAS Tuchel, Kocha Mkuu wa Paris Saint Germain amethibitisha kwamba Neymar anataka kusepa ndani ya kikosi hicho.Tuchel amesema kuwa alifahamu ishu hiyo ya nyota...