ISHU YA KUGOMBANIA NAMBA NA CHAMA, KAHATA KWA AJIBU IPO HIVI
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa hana hofu na kukosa namba kwani ushindani upo sehemu zote.Ajibu amejiunga na Simba msimu huu akitokea...
AZAM FC: TUNALITAKA KOMBE LETU, MANYEMA SIRI ZAO TUNAZO
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa leo watapambana na Manyema FC ili kutinga hatua ya fainali kombe la Kagame na kuteta...
SENEGAL WAPATA PIGO LEO KUMKOSA BEKI WAO KISIKI FAINALI YA AFCON
KALIDOU Koulibary beki mahiri wa timu ya Taifa ya Senegal leo ataukosa mchezo wa fainali kwenye michuano ya Afcon dhidi ya Algeria nchini Misri.Hii...
SIMBA KUCHEZA KWENYE MIJI MITATU SAUZI
SIMBA ambayo ipo kambini nchini afrika Kusini ambapo inatajwa kambi hiyo ni ghrama kubwa, imetangaza kuwa itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu. Kumekuwa na...
USAJILI YANGA WAZUA HOFU SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno...
KOCHA SIMBA AIBUKA NA LAKE BAADA YA KASEJA KUITWA STARS
Mchezaji wa zamani wa Simba Abdallah King Kibadeni, amesema kitendo cha Kocha Etienne Ndairagije kumuita Kipa Juma Kaseja kunako kikosi cha Taifa Stars ni...
CAF YAIFANYIA MABADILIKO TAIFA STARS
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kikao chake kilichokaa Julai 17,2019 kimefanya marekebisho ya michezo ya kufuzu Fainali...
KASEJA, YONDANI KUIONGOZA KAMBI STARS – VIDEO
Kipa Mkongwe wa Tanzania na klabu mbalimbali vya Ligi kuu Tanzania Bara Juma Kaseja ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa mara ya...
WALIOKATAA FEDHA ZA UWOYA GLOBAL WAPEWA KITITA
UONGOZI wa Global Publishers umewapongeza kwa kuwapa kitita cha fedha wanahabari wake, Imelda Mtema na Hillary Daudi, kwa kuonesha weledi wa kutogombea fedha wakati...