EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA
Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa...
CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA
Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye...
HILO DAU LA LEROY SANE WA MANCHESTER CITY LAZIMA UKAE
UONGOZI wa timu ya Bayern Munich umethibitisha suala la kuitaka saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kari Heinz Rummenigge...
CAF YAIRUHUSU SIMBA KUTINGA JEZI YA KIJIVU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa msimu ujao Simba watatumia jezi ya rangi nyekundu nyumbani na rangi nyeupe ugenini huku wakitumia rangi ya kijivu pale...
DIDA; NINA OFA TANO MKONONI KWA SASA
Deogratius Munish, mlinda mlango huru baada ya kuachana na Simba amesema kuwa ana ofa tano mkononi mwake kwa sasa.Dida hana timu na anatumia muda...
YONDANI AAHIDI MACHUNGU KWA WAPINZANI
BEKI mwenye nafasi kubwa ya kupewa unahodha wa Yanga msimu ujao, Kelvin Yondani amekiri kwamba kikosi hicho kimesheheni.Mchezaji huyo wa zamani wa Simba, alisema...
AJIBU AWATAKA SIMBA WATULIZE BOLI, MSIMU NI WAO
Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu.Ajibu ambaye msimu uliopita wa 2018-19 alikuwa...
MWADUI FC WASHINDA VITA YA KUIPATA SAINI YA NYOTA WA MTIBWA SUGAR
Mwadui FC imeshinda vita ya kuipata saini ya beki wa Mtibwa Sugar, Rojas Gabriel ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Gabriel alikuwa anawindwa na timu...
HUYU NDIYE PILATO WA FAINALI YA AFCON KATI YA SENEGAL NA ALGERIA
BAMLAK Tessema mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ethiopia ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuchezesha mchezo wa fainali ya michuano ya...
SIMBA YAKIRI KUTOMLIPA MCHEZAJI MURSHID MSHAHARA WA MIEZI MIWILI, YATAJA SABABU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa ni kweli unadaiwa na mchezaji wao Juuko Murshid anayecheza timu ya Taifa ya Uganda ila haina mpango wa kuachana...