JESHI KAMILI LA AS VITA, MZEE WA KUWAGA NA KUMIMINA MAJI NDANI

0
KIKOSI kamili cha timu ya AS Vita ya Congo kikiwa kamili na beki kipenzi cha Simba, mzee wa kumwaga na kupandisha maji, Zana Coulibary...

YANGA: TUNALIPA KISASI KWA TOWNSHIP ROLLERS AGOST 10

0
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa hivyo wataanza kazi na Township Rollers Agosti...

NALDO, CHIRWA, NGOMA WAIPASUA KICHWA AZAM FC

0
IDD Chehe, Kocha Msaidizi wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa tatizo kubwa ambalo ni pasua kichwa kwa sasa ndani ya kikosi hicho ni...

KWA ULAINIIII MASHINE ALAMBA MILIONI SITA ZA SPORTPESA

0
Mkazi wa Tabora, Nelson Misungwi Mashine akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 6,835,260 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya...

KUMEKUCHA, YANGA YACHARUKA, YAISHITAKI SELCOM KWA SERIKALI

0
Uongozi wa Yanga umeishtaki Kampuni ya Selcom Tanzania, serikalini kutokana na utendaji wao wa kazi mbaya ambao ulikuwa wa wizi na rushwa uliotokea kwenye...

GSM WASHUSHA MZIGO WA JEZI MPYA ZA YANGA…

0
Kampuni ya GSM leo wameshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya hule wa awali kumalizika saa chache mara baada ya kuzinduliwa.Akizungumza...

BAADA YA WIKI YA WANANCHI, YANGA KUPAA ZANZIBAR KESHO

0
Kikosi cha Simba kesho asubuhi kitasafiri kwenda Unguja, Zanzibar kwa ajili ya kambi ya pamoja kujiandaa na mchezo wao awali wa Ligi ya Mabingwa...

MANCHESTER UNITED YAMALIZANA NA MAGUIRE, AWA BEKI GHALI DUNIANI, PINI MIAKA SITA

0
HARRY Maguire, anaingia kwenye rekodi ya mabeki ghali duniani baada ya usajili wake kukamilika na Manchester United kuthibitisha kuwa wametumia pauni milioni 80 likiwa...

MO HAJAGUSA HATA SHILINGI KWENYE BILIONI 20 KUWEKEZA KWENYE UWANJA WA BUNJU

0
MOHAMED Dewji, 'Mo' Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba amesema kuwa uwekezaji wake wa bilioni 20 haupo kwenye mpango wa Uwanja wa Bunju.Simba leo...