SIMBA YAKUBALI KUPIGWA FAINI YA USAJILI
Wakati usajili wa kimataifa ukifungwa rasmi Julai 10, mwaka huu, Klabu ya Simba imesema haina hofu, ipo tayari kutoa faini ili kuweza kukamilisha usajili...
YANGA, SIMBA KUKAMULIWA ‘MIDOLA’ NA TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitaka timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu Bara kukamilisha usajili Kwa njia ya mtandao (Tanfootball Connect) kabla ya usajili kufungwa...
SIMBA YAMPELEKA MCHEZAJI YANGA HOSPITALI
Uongozi wa Simba umesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo walianza kutua nchini kuanzia juzi Jumatatu na wanatarajiwa kuingia kambini Julai 15 lakini wataanza kwanza...
SIMBA YAGOMBANIWA NA WASAUZI
IMEBAINIKA kuwa wakati Simba ikitarajiwa kuondoka kwenda Afrika Kusini kuweka kambi Jumatatu ijayo, klabu kibao za Sauz zimeomba kucheza mechi za kirafiki na Simba...
KIPA MPYA YANGA AMTAJA YONDANI
Kipa mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa sababu ni mchezaji mkubwa...
AJIBU, GADIEL WAPELEKWA MAMELODI SUNDOWNS
Wachezaji wapya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael watakutana na zali la kupelekwa katika Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ambako timu...
NDAYIRAGIJE APANIA REKODI KUBWA
Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea kombe lao hilo.Azam FC...
YANGA NAYO YATUMA MAJINA 26 CAF TAYARI KUKIIGA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, YUMO SHIKALO
Majina ya wachezaji 26 wa Yanga ambayo yametumwa CAF kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao.MAKIPA1. Farouk Shikalo2. Metacha Mnata 3. Klaus Kindoki MABEKI4....