UNITED YAMKOMALIA POGBA

0
MANCHESTER United wamemkomalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Paul Pogba licha ya yeye mwenyewe kutaka kusepa kikosini hapo.Pogba amesema kuwa kwa sasa anahitaji kupata...

MWANTIKA AREJESHWA TAIFA STARS

0
Beki mkongwe nchini David Mwantika amerudishwa katika kikosi cha Taifa Stars kilichopo Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON.Mwantika amerejeshwa baada ya kuumia kwa Aggrey...

COASTAL UNION YAFANYA MAAMUZI MAGUMU KUHUSU ALI KIBA

0
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa hawafikirii kumuacha mchezaji Ali Kiba licha ya kuwa na majukumu mengi kwani uwezo wake...

Kelvin John alitamani sana kubaki Misri

0
Kelvin John Mshambuliaji ambaye alikuwemo katika kikosi cha wachezaji 32 walioitwa na Amunike nchini Misri, amekiri kuwa kuwemo katika kikosi hicho kumemuongezea...

TAZAMA MAUFUNDI YA MASHINE MPYA ILIYOTUA YANGA HAPA – VIDEO

0
Baadhi ya magoli aliyofunga Juma Balinya ambaye amesajiliwa na Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Tazama vdeo yake hapa.

HIKI NDICHO KILICHOMPONZA CHIRWA, SINGANO, LYANGA KUPIGWA CHINI AZAM FC

0
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya kocha Ettiene Ndayiragije kuwatema wachezaji nane wa kikosi hicho ni pamoja na kutoridhishwa na uwezo wa wachezaji hao pamoja...

JIPYA LAIBUKA JUU YA USAJILI WA BWALA SIMBA

0
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.Taarifa za ndani zinasema...

TSHABALALA AWACHANGANYA WAARABU – VIDEO

0
Tazama alichokifanya Mohammed Hussein 'Tshabalala' huko Misri akiwa na Taifa Stars mpaka baadhi ya waarabu wakawa wanamtazama.

HARMONIZE AMKATAA ALIKIBA, ATAJA TATTOO ZAKE – VIDEO

0
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na tattoo alizochora mwilini mwake sambamba na kumtaja Ali Kiba. Sikiliza hapa

ALIKIBA AIGA ALICHOKIFANYA DIAMOND – VIDEO

0
Lebo ya Msanii wa kizazi kipya inayomilikiwa na msanii Ali Kiba 'Kings Music' imemtambulisha msanii mwingine mpya.