SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII

0
Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.

KISA KITI, MISRI WATIA AIBU ZONE V UGANDA

0
WAKATI mchezo wa mpira wa kikapu kati ya Tanzania dhidi ya Kenya upande wa wanaume ukichezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Lugogo, Kampala nchini...

STARS YAPIGWA 3-0 NA ALGERIA AFCON, SASA KUPANDA NDEGE TAYARI KUREJEA NYUMBANI

0
Kikosi cha Taifa Stars kimekamilisha rasmi safari ya michuano ya AFCON huko Misri kwa kupokea kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Algeria.Katika mchezo huo...

KMC WAIWAHI MAPEMA TP MAZEMBE

0
KIKOSI cha timu ya KMC Alhamisi hii kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya kuwawahi wapinzani wao TP Mazembe katika michuano ya...

KOCHA MBRAZIL APONGEZA SILVER NA FRAGA KUSAJILIWA SIMBA ‘ WAMEPATA VIFAA’

0
KOCHA Mbrazil aliyewahi kutamba na Taifa Stars na Azam, Itamir Amorin ameukubali usajili wa Wabrazil uliofanywa na Simba inayojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika...

MARCUS RASHFORD NI POCHI NENE MANCHESTER UNITED BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA

0
MARCUS Rashford ameingia makubaliano na timu yake ya Manchester United kwa kandarasi ya miaka minne huku akilipwa mshahara mnene.Rashford ambaye ni mshambuliaji wa timu...

NIYONZIMA WA SIMBA KUIBUKIA CONGO

0
Imeelezwa kuwa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na timu ya As Vita ya Congo.Niyonzima ametangaza kuachana na Simba baada...

BEKI MPYA YANGA ATUMA UJUMBE MZITO KWA WAPINZANI

0
BEKI mpya wa Yanga ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa nchini Misri, Ally Mtoni 'Sonso' amesema kuwa ana imani ya kufanya makubwa...

VIGOGO 10 WATEULIWA NDANI YA YANGA KAMATI YA FEDHA

0
MWENYEKITI wa Yanga, Dr. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewateua wajumbe 10 kuunda Kamati mpya ya Fedha na Mipango.Orodha ya walioteuliwa...