MANARA AWACHANA YANGA BALAA KISA BALINYA, ‘HANA LEVO YA KUCHEZA SIMBA’

0
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, juu ya taarifa za timu yao kudaiwa kumtaka Juma Balinya.

IMEVUJA!! SIRI NYINGINE YAFICHUKA MGANDA WA SIMBA ALIVYOTUA YANGA

0
BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye alikuwa akitakiwa na Simba...

BALINYA: OKWI AMENILETA YANGA

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel...

KMC YAZIMA MAZIMA NDOTO ZA YANGA, SI MCHEZO

0
UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles Ilanfia miaka mitatu kuendelea...

KAZI IMEANZA AZAM FC, YAMCHOMOA WINGA MATATA MBEYA CITY

0
Idd Seleman 'Nado',amesajiliwa na Azam FC kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea  Mbeya City.Nado amesaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam...

YANGA YAKAMILISHA ASILIMIA 90 YA USAJILI WA ZAHERA,

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti...

PASIPOTI YAMZUIA AIYEE KWENDA SWEDEN

0
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15, kwenda nchini Sweden kwa...

MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP

0
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu...

WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu,  kukaa mahabusu...