STRAIKA ALIYEZUA GUMZO NCHINI AAMUA KUJIFUNGA, SABABU NI ….
Baada ya kuonyesha vitu adimu vilivyomkosha kila Mwanayanga na kuwaumiza wapinzani, straika wa Yanga, Bernard Morrison, ameingia chimbo kutengeneza dawa ya mabeki jeuri.Morrison aliyetua...
MORRISON MWINGINE KUSHUSHWA YANGA
WAKATI nyota wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, akiendelea kuwafanya wapenzi wa timu hiyo washindwe kuamini anachofanya uwanjani, kocha mkuu wa Yanga, Luc...
KISA SIMBA, KOCHA YANGA AKIWASHA TENA, AWATAJA TFF
Kocha Mkuu wa Yanga amefunguka machache kuhusiana na matokeo ya mchezo baina ya Simba dhidi ya Namungo FC ambayo yalikuwa ni ushindi wa mabao...
HAZARD AREJESHA MATUMAINI REAL MADRID
STAA wa Real Madrid, Eden Hazard, ameanza kufanya mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha.Hazard alianza mazoezi hayo juzi...
KOCHA SIMBA AMCHANA STRAIKA YANGA
ALIYEWAHI kuwa kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amemuangalia straika Muivory Coast, Yikpe Gnamien ambaye Yanga wanatamba naye, akasonya kwa sauti na kukunja sura...
MKUDE ATANGAZA UBINGWA SIMBA, SI WA LIGI KUU BARA
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amesema watajituma hadi tone la mwisho kuhakikisha wanabeba Kombe la FA msimu huu baada ya mwaka jana kutolewa hatua...
ANGUKO KUBWA MASTAA 2020, DIAMOND NDANI
MWAKA 2020 utakuwa wenye anguko kubwa kwa mastaa wa Bongo, habari mpya kutoka kwa mtabiri maarufu, Afrika Mashariki na Kati, Maalim Hassan Yahya Hussein...
TULIPAMBANA ILI TUWAACHE INTER
STAA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema kitendo cha wao kushinda dhidi ya Parma kimezidi kuongeza gepu na wapinzani wao Inter Milan.Juventus inaongoza Serie A...
HII NDIYO HATMA YA NEYMAR NA PSG
STRAIKA wa Paris Saint German, Kylian Mbappe, kwa sasa anaangalia nini anatakiwa kufanya ndani ya klabu hiyo na mwisho wa msimu atajua anaelekea wapi.Mbappe...
GSM YAMWAGA MSAADA WA MAANA KWA MAMA ANNA
KLABU ya Yanga kupitia kwa mdhamini wao Kampuni ya GSM leo Januari 30, 2019 wamefanikisha kutoa masaada wa fedha mahitaji ya chakula cha miezi...












