USAJILI SIMBA NI BALAA TUPU, JIONEE MWENYEWE

0
SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko.Kikosi hicho kilichopo chini ya muwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo’...

VIFAA 21 YANGA HADHARANI, MASTAA WANNE WA KIGENI OUT

0
YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya za kutoka nje ya...

YANGA YAMPA MKATABA KIPA AKIWA MISRI

0
MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa Misri.Yanga wanapambana vya kutosha...

FOWADI MPYA YANGA USIPIME

0
HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na takwimu zake za kutupia...

BEKI HUYU WA SIMBA AWEKWA KWENYE TAGETI ZA YANGA NA AZAM

0
BEKI wa Simba Juuko Murshid ambaye nafasi yake ya kubaki ndani ya Simba kwa sasa ni finyu imeelezwa kuwa amekuwa ndani ya tageti za...

UMESIKIA MDAU ….HILI LA Infinix NA ZUCHU SIO LA KUKOSA MTU WANGU…NI KWA MGUSO...

0
Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub...

YANGA YAIKOMALIA SAINI YA NYOTA HUYU, IKITIKI BASI WANAKUWA NA VIUNGO WANNE MATATA

0
UNAAMBIWA kama Yanga itakamilisha usajili wa kiungo wa Kagera Sugar, Kassim Khamis basi watakuwa wana viungo wakali wanne ambao wanatoka visiwani Zanzibar.Khamis ni nyota...

LIPULI FC, KOCHA WAO MATOLA BADO HAKIJAELEWEKA KIANA

0
Uongozi wa Lipuli FC umesema kuwa bado haujakaa mezani kuzungumza na kocha, Seleman Matola juu ya kuongeza mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao.Akizungumza...

MANCHESTER UNITED KUMLIPA MKWANJA MREFU DAVID de GEA

0
Kwa mujibu wa The Sun, Manchester United wapo tayari kumpa David de Gea pauni 20m kama mlinda mlango huyo atahamia Paris Saint-Germain katika usajili wa majira ya joto.Fedha hizo...

WACHIMBAJI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI GAIRO – VIDEO

0
Wachimbaji watano leo Jumapili Juni 9, 2019 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu, katika kijiji cha Kirama kata ya Kiogwe...