MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

YANGA HAWATAKI UTANI, WANAUTAKA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
BAADA ya kupata nafasi ya kushiriki michuano ya  Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imeweka wazi lengo lao ni kutwaa ubingwa huo msimu ujao.Yanga imepata...

SINGIDA UNITED WAJA NA MTINDO MPYA WA USAJILI, WATANGAZA FURSA

0
UONGOZI wa Singida United umetangaza fursa kwa wachezaji wote ambao wanahitaji kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019/20.Akizungumza na...

KOCHA YANGA AFICHUA SIRI YA MABAO YA KINDOKI

0
KOCHA wa magolikipa wa kikosi cha Yanga, Juma Pondamali amesema kuwa kikubwa kilichokuwa kinamponza mlinda mlango Klaus Kindoki kushindwa kufanya vizuri ni hofu akiwa...

TAIFA STARS: HAKUNA CHA KUHOFIA TUNAKWENDA KUFANYA MAAJABU

0
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa wanakwenda kufanya maajabu nchini Misri kwa kuwa wanajua wanapeperusha Bendera ya Taifa kwenye...

AZAM FC YAMPIGA PIN NYOTA WAO MWINGINE LEO

0
Kipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo.  Mwadini aliyeanza...

MEDDIE KAGERE ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA

0
Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Mei.Kagere ametwaa...

NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA

0
KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara  kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi chake cha KMC kumaliza...

HAWA HAPA 11 WANATAJWA KUVAA JEZI YA SIMBA MSIMU UJAO

0
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata kwa mkataba wa awali.Habari...