BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI
BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote...
Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?
Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na...
KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA
BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi umepania kuboresha kikosi kwa...
KUMEKUCHA NAMUNGO, BAADA YA KUIBOMOA ALLIANCE, SASA KUIBOMOA YANGA
BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
HIVI NDIVYO PLUIJM ALIVYOIBUKIA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa kocha wa Azam FC...
KIPA AGOMEA MKATABA SIMBA / KABWILI SAMATTA MFANO WA KUIGWA – VIDEO
Kipindi cha Spoti House kimeendelea tena, pata nafasi ya kuwasikiliza wachambuzi mbalimbali wa mabo ya soka kuhusiana na mpira wa miguu.
NYOTA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO
IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi kuichezea na...
KOCHA SIMBA KUIBUKIA TIMU NYINGINE LIGI KUU
KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa zamani wa Simba na sasa...